Je, ni kweli kuwa Rais Samia anahujumiwa?

EKILOZO

Member
Jul 16, 2021
19
75
Kuna jambo linaendelea nchini ambalo nafikiri wengi wetu hatufahamu lakini ukitazama kwa jicho la tatu la kisiasa utakubaliana na mimi kwamba pengine ni hujuma dhidi ya Rais Samia kwa sababu ili jambo lolote litokee lazima liwe na sababu.

Matukio haya machache yanatoa taswira ni kwa jinsi gani Rais samia anaweza kuwa anahujumiwa;

1. MATUKIO YA MOTO
Siku chache baada ya Samia kukalia kiti cha urais kuliibuka matukio ya moto ikiwemo kuungua kwa soko kubwa la kibiashara la kariakoo pamoja na shule. Matukio hayo ya mato yalitokea kwa kufuatana kwa mfululizo mara ghafla yakapotea hadi wa leo hakuna kisa cha moto kingine kilichoripotiwa.

Katika nyanja ya kisiasa naweza kugawa matukio haya ya moto katika taswira mbili;

(i)yalilenga kumjaribu Rais Samia kuona amejipangaje, kujua tabia yake, kupima uwezo wake na kujua reaction zake endapo atajua kama anahujumiwa.

(ii) yalikuwa yanalenga kumdhoofisha Rais samia kwamba ameshindwa kulinda usalama wa raia na mali zao hivyo hatoshi kuendelea kukalia kiti cha urais kama amiri jeshi mkuu.

2. TUKIO LA DAKTARI KUSHINDWA KUHUTUBIA MDAHALO WA CHANJO YA UVIKO-19
Kwangu naliona lile tukio kama issue ambayo ilikuwa planned kuanzia kwa daktari mwenyewe na wahusika ambao sauti zao zinasikika kwenye ile video clip. Kwanini nasema ni planned?

(i) kama kweli yule daktari alikuwa ana matatizo ya kiafya angeomba hudhuru na kutolewa kwenye orodha ya wachangia mada haraka iwezekanavyo lakini haikuwa hivyo. Lakini pia tujiulize, siku zote serikali imekuwa ikiandaa midahalo mikubwa, ukichilia mbali kigugumizi hatujawahi kusikia mtu ameshindwa kuhutubia na kuanguka chini, iweje kwenye mdahalo wa chanjo ya uviko-19 ambayo imekuwa na mapokeo na mtazamo tofauti miongoni mwa watu ndipo linajitokeza hili tena likirushwa live kwenye television ya taifa?

(ii) ukitazama ile video clip ya tukio kuna sauti zinasikika zikisema "alikuwa amechanjwa" na nyingine ikisema "hakikisha hii video haisambai kwa watu". Kama ni kweli yule daktari alishindwa kufanya mdahalo kwa matatizo ya kiafya kwanini wahusika ambao sauti zao zinasikika kwenye ile video clip hawakusema tatizo lingine kama vile uchovu n.k lakini walikimbilia moja kwa moja kuhusianisha hilo tukio na chanjo ya uviko-19?

Je, ni nani aliyerusha hiyo video ambayo walikuwa wameambizana isisambae kwa watu?

Ukijiuliza hayo maswali ndipo unagundua kwamba lile tukio lilikuwa planned na lengo hasa ni kudhoofisha zoezi la utoaji chanjo ambalo limeratibiwa na Rais mwenyewe. Vile vile walilenga kuaminisha wananchi kwamba chanjo zina madhara ila serikali inaficha ndio maana kwenye clip mmoja wao anasikika kwa sauti akisema video isisambae wakati wangeweza kukatisha kipindi pasipo kurekodi sauti zao.

3. TUKIO LA WIZARA YA KILIMO KUCHAPISHA MAUDHUI YASIYOFAA
Jana kwenye ukarasa wa mtandao wa twitter wa wizara ya kilimo kulichapishwa maudhui yasiyohusiana na mambo ya wizara ambapo iliwekwa picha ya binti mrembo akitakiwa heri ya siku yake ya kuzaliwa.
Japo wizara ilijitokeza na kusema kwamba account hiyo ilidukuliwa lakini pia kwa jicho la tatu inaweza kuwa ni tukio la kupangwa ili kuwaaminisha watu kwamba serikali ya Rais Samia haiko serious kwenye mambo ya msingi na kwamba inaendesha mambo yake hovyo hovyo bila mpangilio kama hilo la kutakiana birthday kwenye ukurasa wa serikali.

Watu wanaweza kujiuliza kwanini nasema Rais Samia anahujumiwa?

Ukweli ni huu,

(i) Ndani ya CCM kuna genge ambalo limejipanga kuhakikisha Rais Samia ana kwama na hafanyi jambo lolote la maana la kuwagusa wanchi katika kipindi hiki cha miaka minne. Kwa kifupi asiache alama yoyote ya kukumbukwa na watu katika uongozi wake.

(ii) genge hilo hilo limejipanga kumtengenezea chuki na kumpunguzia hali ya kukubalika kwa wananchi na itakapofika 2025 asipate kibali cha kuwania kiti cha urais ili waweke mtu wao wanayemtaka.

Nini Rais Samia afanye kujinasua katika matego haya anayotegewa?

Rais samia anatakiwa afanye mambo makuu yafuatayo;

(i) Achague watu makini wa kumshauri na ajiepushe na waliokuwa washauri wa mtangulizi wake kwani ndio wanaendesha genge la kumkwamisha.

(ii) Rais samia apenyeze mashushu (informers) wake mitaani na kwenye taasisi zote za kiserikali ambao ni royal kwake ili wamsaidie kudhibiti matukio na kukusanya taarifa za wanaopanga kumkwamisha au kumhujumu. Hata Rais magufuli pia alifanya hivyo baada ya kuona hali ni tete. Hii itamsaidia Rais Samia kutumia muda mwingi kuwaletea wananchi maendeleo kuliko ilivyo sasa kwa sababu kila jema atakalopanga atakwamishwa tu.

(iii) Rais samia afanye mabadiliko kidogo kwenye baraza la mawaziri kwa kuweka mawaziri wenye nia ya dhati na serikali yake ya kuwaletea wananchi maendeleo sio wenye uchu wa madaraka na wafuasi wa mtangulizi wake kwani ndio wanaongoza genge la kumkwamisha.
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,782
2,000
Umemaliza kila kitu! Eti mtu anazidiwa jukwaani alafu watu wanajirekodi huku wanaongelea chanjo ya corona! Kuna jambo tu

Nakubaliana pia na mleta mada kutokana na haya matukio ya umeme kukatika katika huku tukiambiwa station ya Morogoro ilihujumiwa.
Kuna watu wana yao wameshaona Mama anaupiga mwingi sasa wamwalibie tu.
 
Ngokoki

Member
Jul 7, 2021
63
125

Maoni yako ni mazuri sasa swali ni je, atazingatia ushauri wako?
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
14,852

Mithali 12:4

"Every wise woman buildeth her house; But the foolish plucketh it down with her own hands."
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,604

(iii) Rais samia afanye mabadiliko kidogo kwenye baraza la mawaziri kwa kuweka mawaziri wenye nia ya dhati na serikali yake ya kuwaletea wananchi maendeleo sio wenye uchu wa madaraka na wafuasi wa mtangulizi wake kwani ndio wanaongoza genge la kumkwamisha.Isikilize hiyo Video
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
2,481
2,000
Umemaliza kila kitu! Eti mtu anazidiwa jukwaani alafu watu wanajirekodi huku wanaongelea chanjo ya corona! Kuna jambo tu

Nakubaliana pia na mleta mada kutokana na haya matukio ya umeme kukatika katika huku tukiambiwa station ya Morogoro ilihujumiwa.
Kuna watu wana yao wameshaona Mama anaupiga mwingi sasa wamwalibie tu.
Jamani mpaka mtu afe ndiyo mpate kutambua kuwa alikuwa anaumwa!? Mbona matehemu Eng. Mfugale naye alizidiwa akiwa katika kikao, vipi kuhusu Mh. Mangula kuzisidiwa pia akiwa kikaoni!?

Haya ni mambo ya kawaida tusiishi kwa hisia, tuache Rais achape kazi ili kutekeleza ilani ya chama chake aliyoinadi kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2020.
 
WALOLA VUNZYA

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
775
1,000
Kuna jambo linaendelea nchini ambalo nafikiri wengi wetu hatufahamu lakini ukitazama kwa jicho la tatu la kisiasa utakubaliana na mimi kwamba pengine ni hujuma dhidi ya Rais Samia kwa sababu ili jambo lolote litokee lazima liwe na sababu.

Matukio haya machache yanatoa taswira ni kwa jinsi gani Rais samia anaweza kuwa anahujumiwa;

1. MATUKIO YA MOTO
Siku chache baada ya Samia kukalia kiti cha urais kuliibuka matukio ya moto ikiwemo kuungua kwa soko kubwa la kibiashara la kariakoo pamoja na shule. Matukio hayo ya mato yalitokea kwa kufuatana kwa mfululizo mara ghafla yakapotea hadi wa leo hakuna kisa cha moto kingine kilichoripotiwa.

Katika nyanja ya kisiasa naweza kugawa matukio haya ya moto katika taswira mbili;

(i)yalilenga kumjaribu Rais Samia kuona amejipangaje, kujua tabia yake, kupima uwezo wake na kujua reaction zake endapo atajua kama anahujumiwa.

(ii) yalikuwa yanalenga kumdhoofisha Rais samia kwamba ameshindwa kulinda usalama wa raia na mali zao hivyo hatoshi kuendelea kukalia kiti cha urais kama amiri jeshi mkuu.

2. TUKIO LA DAKTARI KUSHINDWA KUHUTUBIA MDAHALO WA CHANJO YA UVIKO-19
Kwangu naliona lile tukio kama issue ambayo ilikuwa planned kuanzia kwa daktari mwenyewe na wahusika ambao sauti zao zinasikika kwenye ile video clip. Kwanini nasema ni planned?

(i) kama kweli yule daktari alikuwa ana matatizo ya kiafya angeomba hudhuru na kutolewa kwenye orodha ya wachangia mada haraka iwezekanavyo lakini haikuwa hivyo. Lakini pia tujiulize, siku zote serikali imekuwa ikiandaa midahalo mikubwa, ukichilia mbali kigugumizi hatujawahi kusikia mtu ameshindwa kuhutubia na kuanguka chini, iweje kwenye mdahalo wa chanjo ya uviko-19 ambayo imekuwa na mapokeo na mtazamo tofauti miongoni mwa watu ndipo linajitokeza hili tena likirushwa live kwenye television ya taifa?

(ii) ukitazama ile video clip ya tukio kuna sauti zinasikika zikisema "alikuwa amechanjwa" na nyingine ikisema "hakikisha hii video haisambai kwa watu". Kama ni kweli yule daktari alishindwa kufanya mdahalo kwa matatizo ya kiafya kwanini wahusika ambao sauti zao zinasikika kwenye ile video clip hawakusema tatizo lingine kama vile uchovu n.k lakini walikimbilia moja kwa moja kuhusianisha hilo tukio na chanjo ya uviko-19?

Je, ni nani aliyerusha hiyo video ambayo walikuwa wameambizana isisambae kwa watu?

Ukijiuliza hayo maswali ndipo unagundua kwamba lile tukio lilikuwa planned na lengo hasa ni kudhoofisha zoezi la utoaji chanjo ambalo limeratibiwa na Rais mwenyewe. Vile vile walilenga kuaminisha wananchi kwamba chanjo zina madhara ila serikali inaficha ndio maana kwenye clip mmoja wao anasikika kwa sauti akisema video isisambae wakati wangeweza kukatisha kipindi pasipo kurekodi sauti zao.

3. TUKIO LA WIZARA YA KILIMO KUCHAPISHA MAUDHUI YASIYOFAA
Jana kwenye ukarasa wa mtandao wa twitter wa wizara ya kilimo kulichapishwa maudhui yasiyohusiana na mambo ya wizara ambapo iliwekwa picha ya binti mrembo akitakiwa heri ya siku yake ya kuzaliwa.
Japo wizara ilijitokeza na kusema kwamba account hiyo ilidukuliwa lakini pia kwa jicho la tatu inaweza kuwa ni tukio la kupangwa ili kuwaaminisha watu kwamba serikali ya Rais Samia haiko serious kwenye mambo ya msingi na kwamba inaendesha mambo yake hovyo hovyo bila mpangilio kama hilo la kutakiana birthday kwenye ukurasa wa serikali.

Watu wanaweza kujiuliza kwanini nasema Rais Samia anahujumiwa?

Ukweli ni huu,

(i) Ndani ya CCM kuna genge ambalo limejipanga kuhakikisha Rais Samia ana kwama na hafanyi jambo lolote la maana la kuwagusa wanchi katika kipindi hiki cha miaka minne. Kwa kifupi asiache alama yoyote ya kukumbukwa na watu katika uongozi wake.

(ii) genge hilo hilo limejipanga kumtengenezea chuki na kumpunguzia hali ya kukubalika kwa wananchi na itakapofika 2025 asipate kibali cha kuwania kiti cha urais ili waweke mtu wao wanayemtaka.

Nini Rais Samia afanye kujinasua katika matego haya anayotegewa?

Rais samia anatakiwa afanye mambo makuu yafuatayo;

(i) Achague watu makini wa kumshauri na ajiepushe na waliokuwa washauri wa mtangulizi wake kwani ndio wanaendesha genge la kumkwamisha.

(ii) Rais samia apenyeze mashushu (informers) wake mitaani na kwenye taasisi zote za kiserikali ambao ni royal kwake ili wamsaidie kudhibiti matukio na kukusanya taarifa za wanaopanga kumkwamisha au kumhujumu. Hata Rais magufuli pia alifanya hivyo baada ya kuona hali ni tete. Hii itamsaidia Rais Samia kutumia muda mwingi kuwaletea wananchi maendeleo kuliko ilivyo sasa kwa sababu kila jema atakalopanga atakwamishwa tu.

(iii) Rais samia afanye mabadiliko kidogo kwenye baraza la mawaziri kwa kuweka mawaziri wenye nia ya dhati na serikali yake ya kuwaletea wananchi maendeleo sio wenye uchu wa madaraka na wafuasi wa mtangulizi wake kwani ndio wanaongoza genge la kumkwamisha.
Lakini mheshimiwa Kikwete aliwahi kusema akili za kuambiwa changanya na zako,Rais Samiah ni rais halali kwa mujibu wa katiba anatakiwa atekeleze majukumu yake ya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi na si kwa matakwa ya kikada kada hapo atakwama muda si mrefu.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,439
2,000
Siyo kweli
FB_IMG_1628922921152.jpg
 
itwaaky

JF-Expert Member
May 21, 2021
201
225

Jambo kubwa analotakiwa afanye ni kumuondoa DGIS diwani na ateue mkurugenzi mpya haraka sana
 
itwaaky

JF-Expert Member
May 21, 2021
201
225
Hizo ni propaganda za kujificha udhaifu wa kiongozi wetu tu hakuna wa kumjuhumu rais wetu hakuna
Kila mtu ana udhaifu wake, na hakuna aliyekamilika ... ata magufuli alipoanza tetemeko la kagera alitoa maneno ya kuudhi baadae akajirekebisha, anatakiwa akalishwe chini na aelezwe ukweli na kujirekebisha pia abadilishe washauri wake
 
EKILOZO

Member
Jul 16, 2021
19
75
Maoni yako ni mazuri sasa swali ni je, atazingatia ushauri wako?
Uamzi upo mikononi mwake kuzingatia au kughairi maana mimi nimetoa kama ushauri tu na siyo shuruti kwamba lazima azingatie maoni yangu, kwahiyo tumwachie mwenyewe atende atakavyoona inafaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom