Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wale jamaa wa kwenye Mwalo wa Mwanza wametokomea 😂😂

Dodoma 👇

Screenshot_20220519-224431_1.jpg

Screenshot_20220519-224523_1.jpg

Screenshot_20220519-222436_1.jpg

Screenshot_20220519-222423_1.jpg
 
Hizi promo za uongo unamdanganya nani asiepajua Dodoma? Ua kuna Dodoma nyingine? Dodoma hawana lolote kuweza kuizidi Mwanza ambayo inajiendesha kwa juhudi za wakazi wenyewe. Serikali leo ikirudi Dar, Dodoma tupa kule!
Promo zinaendelea.

Dom kama Dom 👇
 
Attachments

  • tapatalk_1653645659134.jpg
    tapatalk_1653645659134.jpg
    132.6 KB · Views: 22
  • tapatalk_1653645673001.jpg
    tapatalk_1653645673001.jpg
    152.8 KB · Views: 22
  • IMG_8398.jpg
    IMG_8398.jpg
    229.9 KB · Views: 24

Attachments

  • 20220618_185739.png
    20220618_185739.png
    171.3 KB · Views: 12
  • HAKUNA-UPINZANI-01-1.jpg
    HAKUNA-UPINZANI-01-1.jpg
    94.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220616-001153_1.jpg
    Screenshot_20220616-001153_1.jpg
    57 KB · Views: 11
  • IMG_2155.jpg
    IMG_2155.jpg
    659.9 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1654793870011.jpg
    FB_IMG_1654793870011.jpg
    47.2 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1654793866685.jpg
    FB_IMG_1654793866685.jpg
    68.1 KB · Views: 13

Attachments

  • tapatalk_1653645659134.jpg
    tapatalk_1653645659134.jpg
    132.6 KB · Views: 14
  • tapatalk_1653645673001.jpg
    tapatalk_1653645673001.jpg
    152.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220519-224431_1.jpg
    Screenshot_20220519-224431_1.jpg
    37 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220519-224523_1.jpg
    Screenshot_20220519-224523_1.jpg
    38.3 KB · Views: 15
  • Untitled-2-01-1024x580.jpg
    Untitled-2-01-1024x580.jpg
    79.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220213-004628_1.jpg
    Screenshot_20220213-004628_1.jpg
    17.2 KB · Views: 12
  • najelbuilders_1644700060814_7.jpg
    najelbuilders_1644700060814_7.jpg
    68.7 KB · Views: 10
  • najelbuilders_1644700060754_1.jpg
    najelbuilders_1644700060754_1.jpg
    71.1 KB · Views: 10
  • 3011531_IMG_6865.jpg
    3011531_IMG_6865.jpg
    39.1 KB · Views: 12
  • thumb_2392_800x420_0_0_auto(0).jpg
    thumb_2392_800x420_0_0_auto(0).jpg
    91.9 KB · Views: 10
  • JENGO.jpg
    JENGO.jpg
    57.4 KB · Views: 12
Hana pengine pa kupost zaid ya hapo medeli majengo ya serikali yote..
Kila siku huwa anarudia majengo hayo hayo na render hizo hizo, mji kila jengo ni jengo la.serikali huseme hapo kuna maendeleo kweli au fursa za kibiashara ni bora uende singida kuliko hapo jangwani.
 
Kutoka Mjini hadi Mtumba ni km ngapi?👇
Hiyo ring road ina impact gani kwa wananchi zaidi ya kupitisha magari ya wabunge na mawaziri pamoja na makatibu ata magari 100 kwa siku hayatapita hapo, hizi ndizo white elephant project, majiji makubwa kama Mwanza barabara zimekuwa hazipitiki na jam kubwa lakini barabara za hivi wanapeleka maporini hii nchi ni ya kifala sana.
 
Mshikaji sikuhizi hana content arukia mikoa na mikoa ila bado kote anazidiwa
Mwanza inampa pressure
 
Hiyo ring road ina impact gani kwa wananchi zaidi ya kupitisha magari ya wabunge na mawaziri pamoja na makatibu ata magari 100 kwa siku hayatapita hapo, hizi ndizo white elephant project, majiji makubwa kama Mwanza barabara zimekuwa hazipitiki na jam kubwa lakini barabara za hivi wanapeleka maporini hii nchi ni ya kifala sana.
Kwanza hakuna Ring Road hapo,Dodoma yenyewe hata huijui kumbe
 
Back
Top Bottom