Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Shida yako haujui mkoa wa hohehahe ni hupi.Watu wake wanaomba mpaka mabasi yanayotembea ni Dodoma au jiji la matonya.Ndio tunazaa na uwezo wa kuzaa tuona ndo maana hakuna siku ulishawahi kusikia watu wanakufa njaa kama dodoma na mkileta ujinga na bomba la maji la lake victoria tunafunga ili mfe vizuri huko jangwani.
Omba omba wako kila mahali Tanzania na sio wagogo.

Viwanda vya nafaka Dodoma 👇

Screenshot_20220517-144346.png
 
Shughuli gani za kiuchumi zipo hapo Dodoma ambazo unaweza ukazilinganisha na Mwanza. Mwanza ndo kitovu cha biashara kanda ya ziwa na pia inaunganisha mpaka na nchi jirani. Hela nyingi za dhahabu uko Kahama, Geita zinakuja Mwanza. Ukiachana na dhahabu, fishing industry ipo juu sana.

Dodoma ni mji wa wafanyakazi. Ni mji uliotanuka sana kwa nyumba nyingi ndogondogo ambazo kiuhalisia hazina watu wengi. Yes, Dodoma kuna majengo mengi hasa kule upande wa HAZINA kuna majengo mengi na ofisi za Serikali na Taasisi zake, pamoja na mji wa Serikali kule Mtumba. Hata hivyo, ni mji uliotanuka ila hauna watu wengi kwa kuwa wengi familia ziko Dar es Salaam hadi sasa. In the long run labda, inaweza kuwa tofauti. Ila kwa sasa Mwanza iko juu sana ya Dodoma na hata Arusha.
Ila hata Morogoro, kwa kweli ukipita Msamvu pekee kuelekea Iringa au Dodoma unaweza kuichukulia poa, lakini kuna siku nilienda kule chini, aisee iko poa na imejengeka hasa na eneo ni kubwa sana.
 
Kwa "mtazamo wangu mimi Dodoma inaienda kuipita Mwanza au tayari ilishaipita Mwanza kwa ukubwa wa Jiji. Idadi ya majengo marefu Dodoma inaweza ikawa imeipita Mwanza kwa sababu mwanza Majengo yake marefu yamekusanyika sehemu Moja tofauti na Dodoma ambapo ni mengi ila yapo scattered.
Kwa upande wa barabara Mwanza tayari imeshaachwa parefu sana.
In Short Mwanza ni kama imefikia mwisho kuendelezwa.

Siyo rahisi hivyo kana ulivyoandika. Ukiondoa New Ring Roads ( Inner, middle na Outer) na ule mradi wa Tanzania Stategic Cities Project na pale Mtumba na Ikulu ya Chamwino, ni barabara gani mpya ambazo Mwanza hazipo? Mradi wa Tanzania Stategic Cities umependezesha miji mingi kama Mbeya, Arusha, Mwanza, Mtwara, Dodoma( Manispaa na CDA kwa wakati ule baadae Jiji) Tanga na Kigoma. Kwa DSM ni ile ya DMDP, sasa kipya hapo ni kipi kilichopo Dodoma?
 
Dodoma ni mji wa wafanyakazi. Ni mji uliotanuka sana kwa nyumba nyingi ndogondogo ambazo kiuhalisia hazina watu wengi. Yes, Dodoma kuna majengo mengi hasa kule upande wa HAZINA kuna majengo mengi na ofisi za Serikali na Taasisi zake, pamoja na mji wa Serikali kule Mtumba. Hata hivyo, ni mji uliotanuka ila hauna watu wengi kwa kuwa wengi familia ziko Dar es Salaam hadi sasa. In the long run labda, inaweza kuwa tofauti. Ila kwa sasa Mwanza iko juu sana ya Dodoma na hata Arusha.
Ila hata Morogoro, kwa kweli ukipita Msamvu pekee kuelekea Iringa au Dodoma unaweza kuichukulia poa, lakini kuna siku nilienda kule chini, aisee iko poa na imejengeka hasa na eneo ni kubwa sana.
Kuwa na idadi kubwa ya watu afu maskini kama wa Mwanza inakusaidia nini mkuu?

Na hapa hatulinganishi miji kwa idadi ya wakaazi tuu bali factors zinginezo..

Hadi tunavyoongea hapa tayari Dom imeshaizidi Mwanza Kwa kila kitu isipokuwa hiyo idadi ya watu..

Naomba uelewe kwamba sensa ya 2012,Dodoma ulikuwa Mji wa tatu kwa idadi ya wakaazi hapo ilikuwa kabla hata ya harakati za kuhamia Serikali, unadhani kwa sasa Hali ikoje?

Hata hivyo viwanda,tayari kule Nala kuko busy..
 
Siyo rahisi hivyo kana ulivyoandika. Ukiondoa New Ring Roads ( Inner, middle na Outer) na ule mradi wa Tanzania Stategic Cities Project na pale Mtumba na Ikulu ya Chamwino, ni barabara gani mpya ambazo Mwanza hazipo? Mradi wa Tanzania Stategic Cities umependezesha miji mingi kama Mbeya, Arusha, Mwanza, Mtwara, Dodoma( Manispaa na CDA kwa wakati ule baadae Jiji) Tanga na Kigoma. Kwa DSM ni ile ya DMDP, sasa kipya hapo ni kipi kilichopo Dodoma?
Mapya ni hayo uliyoyataja ya Ring roads zote,Dom hadi dakika hii ndio Jiji lenye mtandao mrefu wa barabara Tanzania..

Harafu Tarura wameanza ujenzi wa baraba zingine Km 8 hapo Dom 👇

Screenshot_20220511-165652.png

Screenshot_20220511-165715.png
 
Mapya ni hayo uliyoyataja ya Ring roads zote,Dom hadi dakika hii ndio Jiji lenye mtandao mrefu wa barabara Tanzania..

Harafu Tarura wameanza ujenzi wa baraba zingine Km 8 hapo Dom 👇

View attachment 2220634

View attachment 2220635
Umezoea kutuletea maneno na picha za wanasiasa leta uhalisia ata Mwanza wakianza kuleta ahadi za wanasiasa si utasema Mwanza itakuwa kama New york, vitu wanavyoongea wanasiasa subiri vikamilike ndio utuletee tambo zako humu, lakina kwa sasa na ata miaka 100 ijayo Dodoma haiwezi kuikuta Mwanza.
 
Sizitaki mbichi hizi 😂😂

Na wewe leta Tambo za wanasiasa
 
Kuwa na idadi kubwa ya watu afu maskini kama wa Mwanza inakusaidia nini mkuu?

Na hapa hatulinganishi miji kwa idadi ya wakaazi tuu bali factors zinginezo..

Hadi tunavyoongea hapa tayari Dom imeshaizidi Mwanza Kwa kila kitu isipokuwa hiyo idadi ya watu..

Naomba uelewe kwamba sensa ya 2012,Dodoma ulikuwa Mji wa tatu kwa idadi ya wakaazi hapo ilikuwa kabla hata ya harakati za kuhamia Serikali, unadhani kwa sasa Hali ikoje?

Hata hivyo viwanda,tayari kule Nala kuko busy..

Para ya4 ya andiko lako haliakisi ukweli huo!
Pia unaposema Dom imeizid Mwanza kwa kila kitu kwa factor zipi?
Kwa mfano ukiondoa Bunge, UDOM na Ofisi za Serikali sioni KWA SASA Mwanza ikiwa imezidiwa na Dom!
Purchasing power Mwanza ni kubwa. Pale Mwanza kuna Stendi kubwa mbili na mpya zone ya kuja Dar nafikiri Buhongwa na zone ya Musoma. Ukienda Mwanza kuna route kama za Moro- Dar, yaani mabasi ya nenda rudi kuelekea Musoma, Geita za kutosha kuashiria ni jiji lenye mzunguko mkubwa wa fedha! Bila kubebwa na Government Dodoma haina chochote, ni ukweli mchungu
 
Purchasing power ipi unayoisemea Mzee? Unajua kwamba per Capita ya Mwanza iko chini Sana top 5 ya mikoa ya Mwisho?

Stand ndio nini Mzee? Stand ni kwa sababu Kuna watu wengi lakini kuwa na watu wengi sio kwamba ndio mna maendeleo au mko vizuri..mfano Wilaya ya Sengerema ina idadi ya watu sawa na mkoa wa Njombe lakini ile ni Wilaya maskini ya kutupwa na iko pua na mdomo na Mwanza..

Huo mzunguko mkubwa wa pesa wa Mwanza haufikii mzunguko ulioko Dodoma,mbona hamuweki Takwimu?

Kwamba route ya Mwanza- Dar ina magari mengi kuzidi Dar-Dom? Kuwa serious basi..

Kubebwa na Serikali ndio kupi? Hizo stand za Mwanza sio Serikali imejengwa? Daraja la Kigongo Busisi je? Ile Mall sio ya serikali? Barabara zinazojengwa sio za serikali?

Acheni visingizio vya kijinga,Dom kumekucha mahoteli na maviwanda ya private kila siku yanajengwa sasa sijui ni serikali inajenga au?

Serikali inajenga Makao yake sasa hilo linahusika vipi na Dom kubebwa? Kama ni sgr kote zinajengwa shida yako ni ipi?

Come 2030,Dom itakuwa na watu wengi kuliko huko Mwanza 👇

Screenshot_20220506-134758.png
 
Come 2030,Dom itakuwa na watu wengi kuliko huko Mwanza

View attachment 2222420

Hizi promo za uongo unamdanganya nani asiepajua Dodoma? Ua kuna Dodoma nyingine? Dodoma hawana lolote kuweza kuizidi Mwanza ambayo inajiendesha kwa juhudi za wakazi wenyewe. Serikali leo ikirudi Dar, Dodoma tupa kule!
 
Naweka facts unaita promo,basi weka facts zako basi.

Yaani ma mia kwa maelfu ya miradi inayotekelezwa Dom haiongezi Purchasing power?

Yaani maelfu ya wafanyakazi walioko Dom na wanaoingia na kutoka hayaongezi mzunguko na purchasing power ya Dodoma?

Kuwa serious basi,Dom imeshahama level za kina Mwanza.

Na cha kukusaidia ni kwamba Mwaka 2021/2022,Dodoma itaipita Mwanza Kwa mapato ya TRA.

Serikali imeanza kujenga Makao Makuu ya VETA Taifa jijini Dodoma👇

Screenshot_20220510-162658.png
 
Back
Top Bottom