Je ni kweli kutoza riba imekatazwa kwenye biblia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli kutoza riba imekatazwa kwenye biblia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ODD, Jun 1, 2010.

 1. O

  ODD Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana wakati naangali kipindi kimoja cha Mlimani TV , kuna Mheshimiwa mmoja wa Benki ya NBC alikuwa akizungumzia kuhusiana na Islamic Banking .Alisema vitabu vyote vya dini ikiwemo Biblia imekataza riba. akasema ni katika Luka 19: 22-23.

  Baada ya kufungua kuona mistari hiyo sijaweza kumuelewa. Tafadhali kwa yeyote mwenye uelewa wa jambo hili hasa katika biblia atufafanulilie . Ninakiweka kifungu kizima kuanzia LUKA 19 : 12-28(Agano Jipya-Chama cha Ulimwengu cha WaGideion)

  Basi akasema , mtu mmoja kabaila alisafiri kwenda nchi ya mbali ,ili ajipatie ufalme na kurudi. Akaita watu kumi katika watumwa wake akawapa mafungu kumi ya fedha ,akawambia ,fanyeni biashara hata nitakapokuja. Lakini watu wa mji wake walimchukia , wakatuma ujumbe kumfuata na kusema , Hatumutaki huyu atutawale . Ikwa ariporudi ameupata ufalme wake ,aliamuru waitwe wale watumwa aliowapa fedha ili ajue faida aliyopata kila mtu kwa biashara yake. Akaja wa kwanza ,akasema bwana , fungu lako limeleta faida mafungu kumi zaidi . Akamwambia ,Vema mtumwa mwema ;kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neon lilio dogo ,uwe na mamlaka juu ya miji kumi . Akaja wa pili akasema Bwana ,fungu lako limeleta mafungu matano faida . Akamwambia huyu naye, wewe uwe juu ya miji mitano . Akaja mwingine akasema , Bwana hili ndilo fungu lako , ambalo niliweka akiba katika leso. Kwa maana nilikuogopa kwa kuwa u mtu mgumu; waondoa usichoweke ,wavuna usichopanda. Akamwambia, Nitakuhukumu kwa kinywa chako , mtumwa mwovu wewe. ulinijia kuwa mtu mgumu niondoaye nisichoweka, na kuvuna nisicho panda ; basi mbona hukuiweka fedha yangu kwa watoao riba , ili nijapo niipate pamoja na faida ?. Akawaambia waolikaa karibu , mnyang’anyieni hilo fungu , mkampe yule mwenye mafungu kumi. Wakamwambia , Bwana, anayo mafungu kumi. Naawambia , kila aliye na kitu atapewa ,bali yule asiye na kitu atanyang’anywe hata alichonacho.
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Usichofahamu nini hapo? hairuhusiwi kuvuna usichopanada
   
 3. B

  Bull JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekatazwa mengi huko kwenye bible, kinachoshangaza wafusi wao wana pick and choose. Wakikaa kwenye vikao wanapitisha wapendacho hawafuati tena bible inavyosema:

  Mfano: hivi sasa makanisa yako busy wanajadili kuhalalisha usenge, unakumbuka kikao kilchofanyika Dar? Wachungaji na mapadre walishirika kujadili kama sasa wanze kulawitiana! What a shame!!
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Biblia iko incoherent na contradictory. Ukisoma vizuri hapo huyo bwana 'tajiri' wa kwenye mfano ana endorse riba, by proxy Yesu ame endorse riba, kwa hiyo huyo banker aliyetumia mstari huu kuonyesha kwamba biblia inakataza riba alikosea, in fact alitumia mstari unao endorse riba ili kuonyesha kwamba biblia inakataza riba.

  Ndio wasomi wetu hao, bankers hao.

  Kuna mistari kibao ya old testament nimeshaitoa katika thread ya "Islamic banking" inayoonyesha jinsi gani Wayahudi walivyokatazwa kutozana riba, angeweza angalau kutumia mistari hii.

  Muda wa kurudi bongo kuchukua hizi kazi sasa, if they can afford me.
   
 5. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  are you sure with what your talking about?
   
 6. d

  damn JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wewe Bull, kichwa chako kina mdudu. When didi that happen? Acha kutoka kwenye mada. Huyo Banker mwislamu hakukielewa kabisa kifungu hicho. Kisome upya. Utaona yule ambaye hakuzalisha alinyang'anywa kile alichokuwa nacho.

  Islamic Banking kwa TZ ni hoax hakuna kitu kama hicho. Mabenki yameamua kutumia pesa za waislamu kwa mtimdo huu bure because they know you dont use your brains when it comes to religion. Ikiwa huamini Kawaambie wakupe mkopo unaofuata Islamic banking, then you will see if it works. if it is a service not hoax au utapeli it should reciprocate. But this one doesn't work on both ways.
   
 7. d

  damn JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  You are right Kiranga, it is difficult to understand the bible, but you need to understand that Bible was/is written in Hebrew way of telling story (probably Old way) that is going back and forth. first summary then story and sometimes back to summary. You can see Gen chapt 1. It is like summary which is well narrated in second and third chapter.

  On Islamic Banking, I ask those supporting it to go in any bank with this so called shariah banking and ask for an interest free loan. Then they will find that huu ni wizi mtupu. banks know that many Muslims dont ask and analyse. This banking system is the best way of ripping them and use their money.
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Hii (Deuteronomy 23:19,20) inaweza kusaidia kidogo kwenye mjadala:

  19 " You shall not charge interest to your brother -- interest on money or food or anything that is lent out at interest.

  20 "To a foreigner you may charge interest, but to your brother you shall not charge interest, that the LORD your God may bless you in all to which you set your hand in the land which you are entering to possess.

   
 9. O

  ODD Member

  #9
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Nakubaliana kwamba biblia in encourage watu kujishuhulisha wazalishe zaidi .

  Moja wapo ya maswali alioulizwa ni BW bANKER na wananchi kwamba:
  1) benki inajiendesha vipi? akasema baada ya kupata hizo fedha tutaziwekesha kibiashara faida ikipatikana ndio tutatumia
  2) mikopo isiyo na riba mtaanza lini kutoa? jibu bado
  3) sasa mbona fedha zilizowekwa ambazo hazina riba zinachanganywa na zenye riba? jibu zikiwekwa zitakuwa zimesafishwa.
  4) mtaji wa kuanzaisha umetoka wapi kama si wa fedha zenye riba : jibu zimetoka islamic bank SA

  MAMBO YA KUJIUliza:
  - kwa nini basi Fedha za wananchi zinatumiwa na benki kwa maslahi yao ya uandeshaji
  -kama fedha za kuanzasha benki zipo toka SA kwani nini wanasema hawawezi kutoa mikopo hadi miezi 3-6 ?

  Wanasema ni mfumo mzuri yetu MACHO
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  I am not merely talking about stylistic difficulties. I am talking about how the bible is downright contradictory.

  Sasa hapa Yesu anatoa mfano kwamba profit maximization is to be desired, halafu sehemu nyingine anatoa mfano kwamba tajiri hawezi kuingia ufalme wa mbinguni. Na matajiri ili waingie ufalme wa mbinguni inawabidi wagawe mali zao zote.

  Downright contradictory !

  Ndiyo maana ni rahisi kutumia biblia ku support kitu chochote, pamoja na vita, ukoloni, utumwa etc.Kwa sababu busara za biblia ni kama busara za methali za kiswahili, methali moja itakwambia "Haraka haraka haina baraka" nyingine itakwambia "Ngoja ngoja huumiza matumbo". Sasa kama mtu unategemea methali tu/ biblia tu ikuongoze utapotea.

  Ona mi contradiction hapa

  A List Of Biblical Contradictions
   
Loading...