Mwanakanenge
Member
- Nov 25, 2012
- 75
- 16
Habari wana jukwaa,
Nimejaribu kupitia thread na magazeti mbalimbali zikizungumzia juu a Benard Membe juu a ukosoaji wake dhidi ya serikali awamu ya tano.
Makundi mbalilmbali amekuwa yakimshambulia kwa ukosoaji wake huo.Je kusifu tu bila kukosoa yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano ni bora zaidi katika kufika kule watanzania tunapopataka?