Je ni kweli kuna dawa ya kuzuia VVU visikuathiri ndani ya masaa 72 ya maambukizi?

Jan-uary

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
967
1,015
Ni baada ya kujichoma na sindano ambayo ina damu ya mtu mwenye HIV, tunaambiwa ukiwahi hospitalini na kupewa dawa kabla ya masaa 72 virus wanasambaratishwa na hupati HIV.

Je ni kweli? Msaada wenu wajuzi.
 
Yeaa, ni kweli inasaidia kuzuia uzalianaji zaidi wa virusi,, coz ndani ya masaa 72 virusi vinakua bado kujiattach kwenye receptor cell zako so replication yake inakua ipo chini,, ukitumia PEP inasaidia kuua wale walioanza kuzaliana ndani ya cell zako
 
Yeaa, ni kweli inasaidia kuzuia uzalianaji zaidi wa virusi,, coz ndani ya masaa 72 virusi vinakua bado kujiattach kwenye receptor cell zako so replication yake inakua ipo chini,, ukitumia PEP inasaidia kuua wale walioanza kuzaliana ndani ya cell zako
Asante
 
Ni kweli ipo but haiuzwi.Wanapewa tuu wale watu esp wanawake waliobakwa na pia kwa madaktari ambao wana hatari ya kuamvukizwa HIV wakiwa katika shughuli zao za kitabibu.
 
Amin amin nawaambien mtu mweupe anatuhadaa sana,,, dawa ya ukimwi ipo hapo ndipo ninapoamin kuwa hawa watu weupe ni nyoka mana mipango yao mingi imejificha kwenye long term planning.. hapa wanakipindi chao ambacho ni officialy kabisa naamin muda huo tutangaziwa kuwa UKIMWI SASA UMEFIKA MWISHO.

Hwatauacha ulimwengu hivhiv naamin watakuwa na jingine tu,, mara baada ya ukimwi kufika mwisho.
Ebola ilipoanza kuwatoa makamasi fasta wakatoa dawa maramoja walizoficha kwenye maabara zao...

hawa majamaa wamemfanya mwafrika analala kama mfungwa na gereza, kitanda na net..
wanabadilisha dozi ya malaria kila leo......... ......
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom