AsanteYeaa, ni kweli inasaidia kuzuia uzalianaji zaidi wa virusi,, coz ndani ya masaa 72 virusi vinakua bado kujiattach kwenye receptor cell zako so replication yake inakua ipo chini,, ukitumia PEP inasaidia kuua wale walioanza kuzaliana ndani ya cell zako
Vipi ulienda kupewa hizo dawaNi kwel
Mwez mzma ni vdonge 30 na Bdo hazjaisha znaisha tar 12 mwez huu ila mm zilipta cku 10 toka nijikate na wembe ndonikaanza kutumia hz dawaUlimeza kwa muda gani?