Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,436
- 4,646
Niliwai sikia mitandaoni kuwa kujifukiza husaidia kupambana na covid-19.
Pia niliwai ona sehemu humu mitandaoni kuwa kujifukiza kunaweza leta madhara kwenye mapafu.
Nimetembelea kijiji kimoja ambacho watu wa huku wameitikia vema huu wito wa kujifukiza kutoka kwa viongozi wetu wa kisiasa. Hawa watu wanajifukiza angalau mara tano kwa wiki au kila siku.
Mimi sina utaalamu kwenye sekta hii ya afya japo nimepata wasiwasi juu ya afya zao kutokana na huyo mataalamu aliyesema kujifukiza kunaleta madhara kwenye mfumo wa upumuaji.
Naomba wataalamu wa afya mnisaidie maelekezo kuhusu namna nzuri ya kujifukiza ambayo itasaidia kujikinga na corona lakini pia isilete madhara yaliyotajwa.
Nawasilisha wakuu, Mungu awabariki.