Tetesi: je ni kweli kuhusu kufutwa kwa course ya clinical officer in medicine?

fierceman

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
553
757
habari wanajf kuna rafiki yangu kaniambia kuwa hii course co in medicine ipo kwenye mchakato wa kufutwa kabisa nikamuuliza we umesikia wapi akasema ni mwaka wapili sasa bunge lajadili nikaamua kukaa tu kimya sasa je ninyi wenzangu mmesikia hii tujuzane kama ni kweli nini hasa sababu ya kufuta?
 
Nadhani anachanganya CO na CA.

Ninachokifamu CA ndio ipo kwenye mchakato wa kufutwa.
Clinical Assistant (CA) ilianzishwa ili kupunguza upungufu wa CO nchini kama ilivyokuwa AMO kwa MD.
Mwambie akupe taarifa iliyokamili ili kupunguza mashaka uliyonayo.
 
Sio kazi ya Bunge letu tukufu kufuta program yeyote hilo ni jukumu la Vyuo, NACTE na ikibidi wizara husika tu. Rafiki yako anakulisha matango pori tu.
 
Amechanganya Clinical Assistant(CA) iko kwenye mchakato wa kufutwa iliyofutwa rasmi ni ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO) yes AMO imefutwa kabisa huu ni mwaka wa pili na vyuo vyote vilivyo kuwa vinatoa hii kozi havipo tena
 
Sio kazi ya Bunge letu tukufu kufuta program yeyote hilo ni jukumu la Vyuo, NACTE na ikibidi wizara husika tu. Rafiki yako anakulisha matango pori tu.
hapo ndipo hata mimi nikawa najiuliza bunge linahusiana vipi na suala hili? Lakini ikanibidi tu niwe kimya kwa maana ni mbishi hatari
 
Amechanganya Clinical Assistant(CA) iko kwenye mchakato wa kufutwa iliyofutwa rasmi ni ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO) yes AMO imefutwa kabisa huu ni mwaka wa pili na vyuo vyote vilivyo kuwa vinatoa hii kozi havipo tena
hapo sawa nimekuelewa vyema huenda alifananisha mambo
 
Back
Top Bottom