Je, ni kweli kipimo cha Unigold huonesha maambukizi ya HIV baada ya siku 3!?

unkown_member

Member
Jan 31, 2018
27
32
Juzi jumapili nilikwenda kupima HIV katika maabara moja hivi! Yule lab technician alinipima moja kwa moja kwa kutumia kipimo cha unigold!! Mimi nafahamu kuwa kwanza hutumika SD Bioline HIV 1/2 iwapo kikireact ndio unigold inatumika kama confirmatory test. Katika maelezo yake yule lab technician akagusia kuwa kina uwezo wa kuonyesha maambukizi baada ya masaa 72 (siku 3)!
Majibu yakawa negative!!

Nijuavyo mimi kutoka maandiko mbali mbali kipimo cha unigold hutumia antibodies kuangalia maambukizi ambapo mwili huchukua kuanzia siku 21 hadi 84 kudevelop detectable antibodies na pia inaelezwa kuwa 95% hugundulika wiki ya 4 (siku 28) kwa kipimo hichi cha antibodies!
Lakini pia nijuavyo mm unigold hutumika kwa ajili ya confirmatory baada ya rapid test nyingine kuonyesha reactive!!

Maswali
1. Je ni kweli kuwa unigold ina uwezo wa kugundua maambukizi baada ya masaa 72 (Siku 3)

2. Je ni kwann unigold hutumika kwa ajili confirmatory test!? Inamaanisha kuwa kipo morden zaidi!?
 
Ni kweli, vipi majibu yako yalikujaje kwenye Unigold maana mie sijawahi tumia hiko! Itapendeza kuona kama kipimo kiliamuaje dhidi ya jumlisha na toa
 
Juzi jumapili nilikwenda kupima HIV katika maabara moja hivi! Yule lab technician alinipima moja kwa moja kwa kutumia kipimo cha unigold!! Mimi nafahamu kuwa kwanza hutumika SD Bioline HIV 1/2 iwapo kikireact ndio unigold inatumika kama confirmatory test. Katika maelezo yake yule lab technician akagusia kuwa kina uwezo wa kuonyesha maambukizi baada ya masaa 72 (siku 3)!
Majibu yakawa negative!!

Nijuavyo mimi kutoka maandiko mbali mbali kipimo cha unigold hutumia antibodies kuangalia maambukizi ambapo mwili huchukua kuanzia siku 21 hadi 84 kudevelop detectable antibodies na pia inaelezwa kuwa 95% hugundulika wiki ya 4 (siku 28) kwa kipimo hichi cha antibodies!
Lakini pia nijuavyo mm unigold hutumika kwa ajili ya confirmatory baada ya rapid test nyingine kuonyesha reactive!!

Maswali
1. Je ni kweli kuwa unigold ina uwezo wa kugundua maambukizi baada ya masaa 72 (Siku 3)

2. Je ni kwann unigold hutumika kwa ajili confirmatory test!? Inamaanisha kuwa kipo morden zaidi!?
Mmh hata mimi walitumia unigold ila siku hoji ngoja waje wajuvi watuambie....

Majibu yalikuwa Negative
 
1.kitaalamu huwa Ni Kati ya wiki 2 mpk 4 ndipo kipimo kinaweza ku'detect HIV antibodies...na hii hutegemeana na Kinga ya mtu ndio maana ukawekwa mda wa kurudia kipimo ambao Ni miezi 3 ambao unaaminika kuwa Kama una maambukizi lazima kipimo kitakuwa positive

2.unigold inatumika Kama confirmatory test sababu ipo more sensitive than SD bioline..kuwa sensitive means ina uwezo mkubwa wa ku'detect early infection hata Kama mtu yupo ktk window period
 
Window period siku 90
Ni ELISA machine tuhh inaonyesha baada ya wiki moja na siyo siku tatu.
Mkuu, kuna rapid Test za zinazodetect both antibodies and antegen, hizi wanaziita combo zikitumika window period ni siku 28 tu, lkn SD Bioline hiv 1/2 zina uwezo wa kudetect 95% by 28 days na hizi hudetect antibodies only.

Sasa swali langu ni juu ya hizi kit za unigold
 
Kwetu sisi bado tunatumia antibody kuditect vvu kwa wenzetu wamefikia kipindi cha kutumia antigens

Kwetu bado sidhani kama unigold inaweza kuditect 72 hrs post Infection
 
Not only that but also The window period for the PCR DNA test is 2-3 weeks of exposure. So this test can be taken between 2-3weeks (14-21 days) after your sexual encounter. A confirmatory test may be taken only if your PCR DNA test result is positive. If it comes back negative, you may re-test at the 3
 
Juzi jumapili nilikwenda kupima HIV katika maabara moja hivi! Yule lab technician alinipima moja kwa moja kwa kutumia kipimo cha unigold!! Mimi nafahamu kuwa kwanza hutumika SD Bioline HIV 1/2 iwapo kikireact ndio unigold inatumika kama confirmatory test. Katika maelezo yake yule lab technician akagusia kuwa kina uwezo wa kuonyesha maambukizi baada ya masaa 72 (siku 3)!
Majibu yakawa negative!!

Nijuavyo mimi kutoka maandiko mbali mbali kipimo cha unigold hutumia antibodies kuangalia maambukizi ambapo mwili huchukua kuanzia siku 21 hadi 84 kudevelop detectable antibodies na pia inaelezwa kuwa 95% hugundulika wiki ya 4 (siku 28) kwa kipimo hichi cha antibodies!
Lakini pia nijuavyo mm unigold hutumika kwa ajili ya confirmatory baada ya rapid test nyingine kuonyesha reactive!!

Maswali
1. Je ni kweli kuwa unigold ina uwezo wa kugundua maambukizi baada ya masaa 72 (Siku 3)

2. Je ni kwann unigold hutumika kwa ajili confirmatory test!? Inamaanisha kuwa kipo morden zaidi!?
Kwa maelezo yako hapo juu nilitegemea kuwa usingeuliza tena swali,zote zina detect antibodies,antibodies hazitengenezwi ndani ya saa 72,hivo vipimo havioneshi kuwa hauna hiv bali huonesha hauna antibodies ambazo no matokeo ya hiv infection baada ya muda kama ulivyoeleza hivo vipimo viwili hutofautiana kwa sensitivity na specificity ,firsy line huwa na high sensitivity which means yaweza pia kuonesha positive kwa baadhi ya maambukizi mengine na second line iko specific,naamini nimejaribu kujibu mkuu
 
1.kitaalamu huwa Ni Kati ya wiki 2 mpk 4 ndipo kipimo kinaweza ku'detect HIV antibodies...na hii hutegemeana na Kinga ya mtu ndio maana ukawekwa mda wa kurudia kipimo ambao Ni miezi 3 ambao unaaminika kuwa Kama una maambukizi lazima kipimo kitakuwa positive

2.unigold inatumika Kama confirmatory test sababu ipo more sensitive than SD bioline..kuwa sensitive means ina uwezo mkubwa wa ku'detect early infection hata Kama mtu yupo ktk window period
Uko sahihi sehemu kubwa ila kuna sensitivity na specificty naomba ukafanye reference kidogo,pia muda wa kurudia si miezi mitatu ilikuwa zamani kwa determine
 
Kwetu sisi bado tunatumia antibody kuditect vvu kwa wenzetu wamefikia kipindi cha kutumia antigens

Kwetu bado sidhani kama unigold inaweza kuditect 72 hrs post Infection
Hata tz antigen ziko ila kwa gharama yake hufanyika muh2,i guess niliwahi kupima 7 yrs ago,pia pcr nayo ipo ila gharama na iko maabara za kanda
 
Kwa maelezo yako hapo juu nilitegemea kuwa usingeuliza tena swali,zote zina detect antibodies,antibodies hazitengenezwi ndani ya saa 72,hivo vipimo havioneshi kuwa hauna hiv bali huonesha hauna antibodies ambazo no matokeo ya hiv infection baada ya muda kama ulivyoeleza hivo vipimo viwili hutofautiana kwa sensitivity na specificity ,firsy line huwa na high sensitivity which means yaweza pia kuonesha positive kwa baadhi ya maambukizi mengine na second line iko specific,naamini nimejaribu kujibu mkuu
Thanks kwa ufafanuzi, nilishangaa sana aliponiambia eti within 72hrs sikutaka kumbishia maana yeye ni mtaalamu na amekutana na case nyingi
 
Not only that but also The window period for the PCR DNA test is 2-3 weeks of exposure. So this test can be taken between 2-3weeks (14-21 days) after your sexual encounter. A confirmatory test may be taken only if your PCR DNA test result is positive. If it comes back negative, you may re-test at the 3
PCR is comfirmatory mkuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom