unkown_member
Member
- Jan 31, 2018
- 27
- 32
Juzi jumapili nilikwenda kupima HIV katika maabara moja hivi! Yule lab technician alinipima moja kwa moja kwa kutumia kipimo cha unigold!! Mimi nafahamu kuwa kwanza hutumika SD Bioline HIV 1/2 iwapo kikireact ndio unigold inatumika kama confirmatory test. Katika maelezo yake yule lab technician akagusia kuwa kina uwezo wa kuonyesha maambukizi baada ya masaa 72 (siku 3)!
Majibu yakawa negative!!
Nijuavyo mimi kutoka maandiko mbali mbali kipimo cha unigold hutumia antibodies kuangalia maambukizi ambapo mwili huchukua kuanzia siku 21 hadi 84 kudevelop detectable antibodies na pia inaelezwa kuwa 95% hugundulika wiki ya 4 (siku 28) kwa kipimo hichi cha antibodies!
Lakini pia nijuavyo mm unigold hutumika kwa ajili ya confirmatory baada ya rapid test nyingine kuonyesha reactive!!
Maswali
1. Je ni kweli kuwa unigold ina uwezo wa kugundua maambukizi baada ya masaa 72 (Siku 3)
2. Je ni kwann unigold hutumika kwa ajili confirmatory test!? Inamaanisha kuwa kipo morden zaidi!?