Je, ni kweli Kanisa la kwa Neema jijini Mwanza lawaka moto

Kigger

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
805
710
Kanisa la TFE Kwaneema la jijini Mwanza lateketea kwa moto usiku huu majira ya saa 7:00 usiku


Tunaomba ukweli wa hii habari


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inawezekana maana nilipishana na gari aina ya Land cruiser Prado ipo mbio saana ikiwa inaishindikiza gari ya zimamoto maeneo ya Nera, makongoro road saa saba za usiku huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepishana na gari la wagonjwa Singida Muda huu. Labda laelekea huko
 
Back
Top Bottom