Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 129
usiwashambulie waandishi wa habari bure. tatizo ni sisi wapentekoste wenyewe ambao hatujajenga misingi thabiti ya kushughulikia conflicts ndani ya makanisa.
Kakobe mwenyewe ni expert wa kukimbilia waandishi wa habari, inawezekana ndiyo sababu huyo mama amekimbilia huko. angejenga msingi imara wa conflict resolution ndani kwa ndani hali hii ya kukimbilia kwa waandishi isingetokea.
wewe si mpentecost, na usitudanganye, hauna hadhi hiyo, maneno yako yanakuweka wazi. acha uzushi. wapent hwako kama wewe.