Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,631
Kwa niliyoyashuhudia na ambayo naendelea Kuyashuhudia Mimi Msimamo wangu juu ya Hoja husika nitausema mwishoni kabisa ila kwa sasa naomba niwaachieni nanyi pia muweze Kufunguka kwani yawezekana nilichokipata kikawa siyo sahihi nanyi mkawa sahihi.
Ewe Mwenyezi Mungu tulinde tu Sisi waja wako na haya yanayoendelea katika Mahusiano na VICOBA kwani hali ni mbaya!
Ewe Mwenyezi Mungu tulinde tu Sisi waja wako na haya yanayoendelea katika Mahusiano na VICOBA kwani hali ni mbaya!