Je, ni kweli JWTZ huwa wanaajiri maaskari wasomi kutoka baadhi ya vyuo tu?

Eagle One

Member
Dec 28, 2015
88
55
Nimesikia kuwa JWTZ huwa wanaajiri askari wapya wenye taaluma kutoka kwenye vyuo maalumu tu mfano.

UDSM
D.I.T
SUA
MUHIMBILI

Ninafahamu kwa wanachukua askari kupitia JKT ila wanawaangalia wa vyuo hivyo tu au hata wa vyuo vingine ambao nao pia wamekua wamepitia JKT wana uwezo wa kupata Nafasi JWTZ?

Ukweli ni upi hapa?
 
Kuna mjomba wa rafiki yangu ameajiriwa JWTZ na alisoma IFM. Tufanye utafiti pasi mihemko binafsi.
 
Nimesikia Kua JWTZ hua waajili askari wapya wenye taaluma kutoka kwenye vyuo maalumu tu mfano..

UDSM
D.I.T
SUA
MUHIMBILI

Ninafahamu kua wanachukua askari kupitia JKT ila wanawaangalia wa vyuo hivyo tu au hata wa vyuo vingine ambao nao pia wamekua wamepitia JKT wanauwezo wa kupata Nafasi JWTZ ??

Ukweli ni upi hapa ...
The world is changing, siku hizi urefu na maguvu sio kigezo tena
 
Brother It's better for you. Before you speak up anything please try to think it first
Ahsante Sana
 
Nina rafiki zangu wa karibu watano graduates wa Computer Science IFM class of 2009 walichukuliwa intake ya 2010 now ni maLuteni.
 
Nimesikia kuwa JWTZ huwa wanaajiri askari wapya wenye taaluma kutoka kwenye vyuo maalumu tu mfano.

UDSM
D.I.T
SUA
MUHIMBILI

Ninafahamu kwa wanachukua askari kupitia JKT ila wanawaangalia wa vyuo hivyo tu au hata wa vyuo vingine ambao nao pia wamekua wamepitia JKT wana uwezo wa kupata Nafasi JWTZ?

Ukweli ni upi hapa?

Hivi asilimia kubwa ya viongozi wa serikali ambao kila kukicha wanaandamwa na kashfa za ubadhirifu wa Taifa wametoka chuo kipi, ueledi wa mtu hupimwa kwa IQ na sio ni chuo kipi kasoma
 
Nimesikia kuwa JWTZ huwa wanaajiri askari wapya wenye taaluma kutoka kwenye vyuo maalumu tu mfano.

UDSM
D.I.T
SUA
MUHIMBILI

Ninafahamu kwa wanachukua askari kupitia JKT ila wanawaangalia wa vyuo hivyo tu au hata wa vyuo vingine ambao nao pia wamekua wamepitia JKT wana uwezo wa kupata Nafasi JWTZ?

Ukweli ni upi hapa?

Sidhani Kama Ni Kweli Kwani Mpaka Hivi Sasa Kuna Marafiki Zangu Kibao Nilimaliza Nao SAUT 2009 BAMC, BBA Na BAED Wamejazana Huko JWTZ Isipokuwa Nadhani Kuna MABADILIKO Ambayo JWTZ Waliyafanya Kuanzia Mwaka 2010 au 2011 Wa Kutoamua Kuchukua Tena WAHITIMU Wa Vyuo Vikuu Na Badala Yake Sasa Wanachukua Sana Vijana Wanaotoka JKT Japo Muda Mwingine Pakiwa Na Hitaji Ndiyo Huchukua WANATAALUMA. Kuna NJEMBA Moja Ya Huko Ilinidokeza Kuwa Moja Ya Sababu Kubwa Iliyowafanya JWTZ Waachane Na Wanataaluma Ni Kutokana Na Kwamba Wengi Wao WANALITAKA TU JESHI KWA AJILI YA MISHAHARA NA KUPANDA VYEO ILA WAKIPEWA KAZI HASA ZA KIMAPAMBANO Huwa WANAKATAA Kwa Kutoa VISINGIZIO KIBAO au KUKWEPA KWA NAMNA MOJA au NYINGINE TOFAUTI NA KIJANA WA DARASA LA SABA ( 7 ) au FORM FOUR ALIYEPIGIKA KIMAISHA HALAFU AKAPATA NAFASI YA KUJIUNGA Na JKT KISHA JWTZ HUWA WANAKUWA NA NIDHAMU YA KIJESHI MNO NA WANA WITO PIA WA KIKAZI NA HATA KIMAPIGANO. Sijui Kuna Ukweli Gani Ktk Hili Ngojeni Wenyewe Waje Hasa Mdau Wangu Super Handsome.
 
Na umri wa kwenda huko mwisho ni miaka mingapi kwa graduates .. Suala la mazoezi na kuogopa kazi sio gumu kwa mtu kama mimi .. Nataka sana kwenda huko kuserve as JWTZ .. Ila still nipo chuo kwa sasa
 
Back
Top Bottom