Je ni kweli Jumuiya ya Mabaharia imeingiliwa na wanasiasa?

flagship

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,650
2,000
Ni muda mrefu kumekuwa na harakati za mabaharia wa Tanzania kupitia jumuiya yao Tanzania Seafarers Community lakini mafanikio yamekuwa ni ndoto.Lengo hasa la mabaharia ni kutambuliwa rasmi na serikali kisha kupatiwa ajira katika bandari mbalimbali.Madai ya mabaharia ni kuwa wamekamilisha kila kitu na wamepitia hatua zote lakini bado hawajapewa nafasi zaidi ya kupigwa danadana.Je kunaweza kukawa na maslahi binafsi ya wanasiasa katika jambo hili kwa kuwa sheria itawapa nguvu mabaharia kushika sehemu nyeti?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom