Wana Jf mm nina mpenzi wangu tangu tupendane tuna zaid ya mwaka na sijawah kufanya naye tendo la ndoa, lakin ananiahid kuwa ana bikira na ameiweka kwa ajil yangu mpaka siku ya ndoa itapowadia. Je ndugu zangu ni kweli kuna msichana wa dunia ya leo anayeweza kuwa na bikira! Na je kama nikikuta hana bikira nimfanyeje?