Je ni kweli huyu mpenzi wangu ana bikira?

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Wana Jf mm nina mpenzi wangu tangu tupendane tuna zaid ya mwaka na sijawah kufanya naye tendo la ndoa, lakin ananiahid kuwa ana bikira na ameiweka kwa ajil yangu mpaka siku ya ndoa itapowadia. Je ndugu zangu ni kweli kuna msichana wa dunia ya leo anayeweza kuwa na bikira! Na je kama nikikuta hana bikira nimfanyeje?
 
hakuna lisilowezekana ktk dunia ya leo, ndio anaweza kuwa nayo au akawa hana, na siku ya kuoana akatengeneza ya kichina! its hard to know. Ila mi napenda shake before use, ukimuoa ukakuta hana au anayo ya kutisha itakuwaje?
 
Wana Jf mm nina mpenzi wangu tangu tupendane tuna zaid ya mwaka na sijawah kufanya naye tendo la ndoa, lakin ananiahid kuwa ana bikira na ameiweka kwa ajil yangu mpaka siku ya ndoa itapowadia. Je ndugu zangu ni kweli kuna msichana wa dunia ya leo anayeweza kuwa na bikira! Na je kama nikikuta hana bikira nimfanyeje?

uliingia kwa gia ya ndoa nini?
 
Kama wewe unayo na yeye anayo.
Ukimuoa ukakuta hana, kamnunulie kariakoo usuuzike na roho yako!
 
huyo atakuwa nayo, vinginevyo asingefanya mizaha ya hivyo. Bikra zipo mkuu, kuna wasichana wengi tu wanaojitambua na kuthamini usichana wao. Lakini kama atakuwa anakudanganya hakufai, ingawaje yawezekana bikra ikatoka bila tendo la ndoa. hivyo unahitaji kuwa zaidi ya makini utakaporuhusiwa rasmi(ndoa) ku'dukunya'
 
Nipe contact zake nikutengenezee njia mkuu, just kidding. Ukitaka kujua kama ni bikra mwangalie mguuni sehemu ya unyayo ukiona ina mviringo kama yai ujue analakiri bado ila kisigino kikiwa flat ujue watu wameshakutengenezea njia siku nyingi.
 
Umri wako pls? Just deal na huyo wa kwako usitake kujua wasichana wengine kwenye dunia ya leo, siku utapojua kweli au c kweli plz keep it to yaself>
 
Nipe contact zake nikutengenezee njia mkuu, just kidding. Ukitaka kujua kama ni bikra mwangalie mguuni sehemu ya unyayo ukiona ina mviringo kama yai ujue analakiri bado ila kisigino kikiwa flat ujue watu wameshakutengenezea njia siku nyingi.

MMMMMMMMMMMMMhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh?!
 
Nipe contact zake nikutengenezee njia mkuu, just kidding. Ukitaka kujua kama ni bikra mwangalie mguuni sehemu ya unyayo ukiona ina mviringo kama yai ujue analakiri bado ila kisigino kikiwa flat ujue watu wameshakutengenezea njia siku nyingi.

haha
 
Kama unampenda kweli utamwamini, swali lako linaonyesha kuwa humpendi kwa moyo wote ndio maana humwani; as simple as that; hata kama amekuwekea, after wedding night she wont be bikira anyomore, and you will have to live and make love with someone ambaye si bikira for the rest of your good/bitter life, may be utakuwa unaendelea kuwashaka mabikira tu and once wakishabikiriwa, then it is over maana wewe unapenda bikira!!!!!!!!
 
wapo wenye bikira wachache sana lakini...
kwani shida nini hapo mwambie unataka kukagua ....
usije ukafunga pingu za maisha na mtu halafu unakutana na plasticbag iliyotumika kila supermarket.....
kwani na wewe ulisema/mwambia ni bikira??
 
unaoa mke au unaoa bikira?

Hili swali ni muhimu sana we unaoa mtu kwa sababu umempenda akiwa/asipokuwa bikra sioni ni kitu kikubwa sana wengine walidanganywa wengine waliwekewa madawa kwenye vinywaji huwezi jua,kama mtu munaendana kitabia acha kuweka umuhimu kwenye kitu cha siku moja.
 
Everything possible why not!

However, be careful inawezakuwa bikira wa mbele na nyuma wenzio wanamega
 
Hebu tujue kwanza yuko wapi yeye, kwani ukituambia maeneo alipo twaweza jua anayo au la? maana maeneo mengine bikira za MBELE NI ZA KUMWAGA lakini za NYUMA MMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:teeth:
 
Nipe contact zake nikutengenezee njia mkuu, just kidding. Ukitaka kujua kama ni bikra mwangalie mguuni sehemu ya unyayo ukiona ina mviringo kama yai ujue analakiri bado ila kisigino kikiwa flat ujue watu wameshakutengenezea njia siku nyingi.

mnh...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom