Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,204
- 4,692
Inasemekana ameanza kuandaliwa kutokana na halihalisi ya mwenye Mamlaka? Inasemekana ameongezewa hata Ulinzi pamoja na kuwepo mabadiliko mengine ya kiitifaki?
Ukiamka ukumbuke umeota niniNavuta picha vile 2025 nachukua nchi kisha daily ziara Rwanda
Tukubali ukweli kuwa Kagame ana akili nyingi Huyu Mtu
Kuitoa nchi Kutoka genocide hadi kuwa sawa na nchi kama Kenya,TZ Kwa kweli acha aongoze atakavyo
Rwanda akiba yao ya fedha za kigeni ina"cover" miezi sita na sie pia akiba ya fedha za kigeni ina"cover" miezi sitaRwanda ipo sawa naTz ama Kenya kivipi? Ghorofa chache unazoziona za picha za mitaa miwili ya Kigali zinakuchanganya... UDOM tu ni kubwa na ina expensive asset. kuliko asset za vyuo vyote Rwanda ukivichanganya pamoja. Shirika moja la uma tz TPA lenye bandari ya Dar es salaam tu inaingiza hela nyingi kwa mwaka kuliko mashirika ya uma yote ya Rwanda ukijumlisha hela zinazoingiza kwa mwaka
Sawa ka nchi kama mkoa wa Tabora?Tukubali ukweli kuwa Kagame ana akili nyingi Huyu Mtu
Kuitoa nchi Kutoka genocide hadi kuwa sawa na nchi kama Kenya, TZ Kwa kweli acha aongoze atakavyo
Sa
sawa ka nchi kama mkoa wa Tabora?
Rwanda eneo haifiki hata nusu ya huo mkoa wa Tabora
Hapa duniani akili akili akili
Licha ya kuwa Rwanda haifiki japo asilimia nne ya eneo letu lakini GDP per Capita tunawiana
Ubelgiji ni ndogo kuliko mkoa wowote ule (except DSM&Kilimanjaro) ila kipato chake Afrika Mashariki yote hatugusi
Kwa maisha gani ya Rwanda?nimefika Kigali life gumu salaries ndogo.Promo tu nyingi hakuna lolote