Mantheman6
Senior Member
- May 30, 2020
- 165
- 140
- Thread starter
- #61
Sio bange pekee ipo pia mimea na madini pia hawa wapumbavu awakugusi.Nguvu ya uchawi ipo kwenye dawa so KILA dawa ijayo miiko yake Ili itende kazi,ukimeza dawa ukanywa maziwa au pombe dawa haiwezi fanya Kazi.So ukizijua Siri na codes za zao hawawezi kukusumbua.Sababu KILA kitu duniani ni hesabu na kanuni na KILA kanuni Ina ant yaani against.
So wengi wanadhurika na uchawi sababu ukosefu wa maarifa ya kutozijua codes na ethics za kichawi zinafanyaje Kazi.Zipo hata kanuni za kulala wakija usiku hawawezi kukubeba.Mwanadamu anaogopa mvua so majini nayo kuna vitu wanaogopa,hawa wapumbavu sio kwamba wao ni miamba Sana au wananguvu Sana kushinda binadamu sema tu wengi hawana maarifa na kuijua nguvu yao waliopewa na Mungu
Mkuu una madini sana ila naomba kufahamu codes za jinsi ya kufanya kabla ya kulala ili wasinisogelee kabisa