Je ni kweli Application ya "Psiphon Pro" inatumika kupata Free Internet

Psiphon pro ni kwa laini ya halotel tu! Then Ina access ya internet incase of WhatsApp,and other apps consume less data network,pia unawez fungua pics na kutuma pics in WhatsApp but cio videos, inshort it's speed is very slow

Utarudi mwenyewe kwenye bundle la kawaida
 
Binafsi japo nina laini ya Halotel lakini bado sijapata access nayo.
Labda kuna maelezo Zaidi ili kuweza kuitumia
 
Ninaunganisha free internet kwa watumiaji wa Vpn. Kwa Mwezi 10k Megabytes bila kikomo.
Speed ya internet ni 9mb / sec.
Inafaa kwa
* social media.
*Youtube
*Downloads za picha na video.
 
Inatumua concept ya ku change DNS queries to IP packets. see bila bundle u can ping a domain and get its IP address now during resolution you can change the DNS traffics to IP trafficks and boom u got the net
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom