Je ni kweli ajira ni za kugawana kindugu au kwa kutoa pesa?

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
Jamani wakuu naomba kuuliza je ni kweli bila kutoa pesa au kuwa na mtu wa kukukingia kifua ni ngumu kuajiriwa?
 

PgSoft2008

JF-Expert Member
May 15, 2008
264
72
Jamani wakuu naomba kuuliza je ni kweli bila kutoa pesa au kuwa na mtu wa kukukingia kifua ni ngumu kuajiriwa?

Hapo mwanzao haikuwa hivyo. kwa sasa kazi nyingi ni hivyo lazima wakufahamu au utoe kitu kidogo unless kuwe na shinikizo from silent observers
 

KICHAPO

Member
Oct 19, 2010
51
0
Si ajira tu hata sehemu za kufanyia field kama huna mjomba kwenye hiyo kampuni huwezipata kirahisi
 

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
288
nd this is very bad...hasa ukizingatia kuna ambao hatuna hao maconnector...tunabaki kusambaza cv tu hamna kuitwa na hata ukiitwa unaishia kupigwa interview tu
 

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
Sasa wakuu naombeni mni pm mnipe contact za watu wanaoweza kuwa msaada kwangu ili niongee nao. Nipo tayari kutoa pesa nipate ajira. Am desperate now i badly need a job more than ever. Thx
 

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,837
261
Sasa wakuu naombeni mni pm mnipe contact za watu wanaoweza kuwa msaada kwangu ili niongee nao. Nipo tayari kutoa pesa nipate ajira. Am desperate now i badly need a job more than ever. Thx

acaha mawazo ya kifisadi mdogo wangu, fight yoyr way up. ukitoa pesa ili uingie kwenye ajira means na wewe utadai pesa mtu akitaka kuingia mahali ulipo, na huu mfumo utaendelea, na je uko tayari kufanya mangapi kwa ajili ya ajira? stop sounding so desperate unless you are not sure na ulichokuwa unafanya shuleni/chuoni. tunajenga kizazi cha aina gani? Usiamini sana hao wanaokwambia lazima utoe kitu ndo upate ajira, thats not true, better yourself in IT usage, language and have confidence and you will always win.
 

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
acaha mawazo ya kifisadi mdogo wangu, fight yoyr way up. Ukitoa pesa ili uingie kwenye ajira means na wewe utadai pesa mtu akitaka kuingia mahali ulipo, na huu mfumo utaendelea, na je uko tayari kufanya mangapi kwa ajili ya ajira? Stop sounding so desperate unless you are not sure na ulichokuwa unafanya shuleni/chuoni. Tunajenga kizazi cha aina gani? Usiamini sana hao wanaokwambia lazima utoe kitu ndo upate ajira, thats not true, better yourself in it usage, language and have confidence and you will always win.

carmel, thank you so much for yo inspiring words. You have made me strong. Am very confident.
By the way nimeamua kuanza kusoma master so nitakuwa natafuta huku naendelea na masomo.

Yo such a sweetheart,thank you.
 

Nakei

Member
Nov 10, 2010
44
11
Hapa jibu ni ndio na hapana, kuna kampuni zingine kazi hazitangazwi mtu anamuita ndugu yake na kumpatia kazi, nafasi zinazotangazwa ni ngumu sana kumpa ndugu yako kwa sababu interview panel inakuwa na watu mbalimbali kwahiyo kufanya upendeleo vigumu.
 

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
9,422
5,959
lakini si fields zote. ila kama ni hizi za siasa siasa - busines administration and the like...!!!!??? shughuli yake ni pevu
 

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
Vp kuhusu kazi za loan officer au bank teller,zinatangazwa au kuna fiksi pia?
 

Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,857
4,125
lakini si fields zote. ila kama ni hizi za siasa siasa - busines administration and the like...!!!!??? shughuli yake ni pevu

Umesema kweli mkuu, kuna field watu wanatafutwa kila siku na hawapatikani na kuna field zingine nafasi ktk mfumo rasmi idadi ya watu hao ni ndogo mno,na waliomo ofisini hawana mpango wa kustaafu, na zingine watu ni wengi mno( hapo rushwa hukwepi). Kuna field zingine ni rahisi mtu kujiajiri bila kukopa benki hata senti tano.
 

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
208
82
kwa nini usifikirie kujiajiri,ili wewe ndio uwe unatengeneza ajira kwa wengine.kumbe unapenda kuwa ........ na sio bosi
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,769
4,032
Usikate tamaa na wewe endelea kutafuta kazi kwa juhudi,lakini unapaswa kuelewa ukabila,udini na kujuhana ni vitu ambavyo bado vinalisumbua soko la ajira nchini kwetu,ni lazima tuwe wakweli kwenye hili!!
 

Juan

Member
Nov 13, 2010
7
0
Mwenzangu mie nlifanya interview tangu mwezi wa tatu vice president office sa cjui majibu vp.nimefatilia magezeti cjaona kama wametangazo au ndo kimya kimya.nakwambia bongo ajira umshirikishe Mungu wako.
 

Kibuja

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
510
90
inategemeana na aina ya kazi maana kazi nyingi hasa za kisayansi hata ukiweka ndugu yako kama si competent atachemka tu maana hakuna bla bla. Cha muhimu ni kuwa na sifa hasa degree iliyonona hapo hata kukuchakachua wakati mwingine inakuwa vigumu
 

Digna37

JF-Expert Member
May 17, 2010
723
235
Kama hujawahi kuhudhuria interviews vivuli huwezi kujua kwamba ni KWELI. BOT
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom