Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo?

Msanii kaazi kwerikweri mie nilifikiri kwa wenye wivu kama mimi ingejaribu kutafuta kile chenye less competition ati ya nini kupandisha presha kila akiaga kwenda gengeni?
 
hii kitu ipo wapi nimuelekeze mtu aende hapo....mifiga yoote kama Bria Myles
Bria-Myles-360x480-37kb-media-2598-media-117542-1183883713.jpg

Thanks God
yaaani kitu kama tikitimaji size ya kati iliyobalansiwa vyema na msanifu oooi
Mnaniharibu akili mazeee yaani moyo unapigika mapigo hapa we acha tu.
 
hahahaha msanii hii kitu standard mm napenda zaidi ya hiyo mpaka kukumbatia unashindwa hiyo ndo yenyewe mkuu ukipita nayo kitaa watu shingo feni hadi akina dada nao wivu lazima wageuke.
 
hahahaha msanii hii kitu standard mm napenda zaidi ya hiyo mpaka kukumbatia unashindwa hiyo ndo yenyewe mkuu ukipita nayo kitaa watu shingo feni hadi akina dada nao wivu lazima wageuke.
ah we acha tu mkuu.
yaani hapo unaingia kama unafungua kitabu vile yaani unagawanya kurasa kutafuta pagemakker. lol

Maumivu kweli shekhe
 
Msanii kaazi kwerikweri mie nilifikiri kwa wenye wivu kama mimi ingejaribu kutafuta kile chenye less competition ati ya nini kupandisha presha kila akiaga kwenda gengeni?
yaani we acha tu mkuu.
kuna mambo ya kuyatolea roho lakini si mahaba shekhe
 
Vingaravyo si dhahabu hata shaba huhilibu :)
 

Attachments

  • fusi.JPG
    fusi.JPG
    8.2 KB · Views: 102
...listi ya wadau wa kujiexpress inaendelea

  1. FIDEL
  2. MASA...
  3. MSA...
  4. NDAHANI
  5. KIGOGO
  6. Yoyo
  7. Maane
  8. Lazy dog
  9. BAK
  10. BRAZAMENI
  11. KIFARU
  12. SONARA
  13. .......
Ongeza jina hapo......
 
nitakujibu kwa lugha uliyoitumia

Men are naturally attracted to the feminine body but for some this attraction becomes an obsession. combine this obsession with the "exposure" of some unafrican behaviours then you find people fulfilling their otherwise natural fantasy with unnatural practices.
 
M'One,

Wanawake wasio na hayo madude ya kuvutia bado wanapendeka ila hayo huongeza mvuto. Wengine wanayo ila huvaa in a way ambapo hayawi exposed. Maanake shida kubwa ni zile contours zinazoonesha mgawanyiko wake na ule ulaini wake.

kwa wenye wivu, hiyo ni pasua roho haswaa. Ndo maana wengine hawaamini kuwa wa kwao ni wao peke yao. Kwani huona jinsi vile vinavyowavutia wao vinawavutia na wengine. Sasa mkeo au bibiyo anayo ya haja halafu anayaachia wazi kwa vijinzi au vigauni vya kubana. Basi ni presha juuu, presha chini kwa mwenye mali hasa wanapoagana.

Wengine huishia kutoa amri ya uvaaji. Wengine hufa na Tai shingoni (wanaumia ila hawasemi). Wengine husema, aaa basi, namiye nitapakata jingine!
 
...listi ya wadau wa kujiexpress inaendelea

  1. FIDEL
  2. MASA...
  3. MSA...
  4. NDAHANI
  5. KIGOGO
  6. Yoyo
  7. Maane
  8. Lazy dog
  9. BAK
  10. BRAZAMENI
  11. KIFARU
  12. SONARA
  13. .......
Ongeza jina hapo......

14.Geoff
hehehe mkuu hii list kiboko.
Kumbe wengi iwa wanaugulia hawasemi wanaumia moyoni nakuugulia tu.

huu mfadhaiko hapa chini vp wadau?

psychobooty911.jpg
wakuu naombeni radhi kwa lolote litakalo tokea.
 
Mbona nyie mmetoka nje ya mada???mi mgeni...nakaribishwa?


eh! Umechangia topic ya kwanza mawowowo.....mbona mdogo bado kwa maana ya upya mara umeshjaingia ukubwani? Enzi za mwalimu ilikuwa sio hivi.....LOL
 
kwa wale ambao hawajabahatika na vitu kama hivi ,Muoneni shemeji yenu jinsi alivyopendeza, mambo kunga.
 

Attachments

  • Mambo ya Mujini.JPG
    Mambo ya Mujini.JPG
    15.7 KB · Views: 95
Back
Top Bottom