MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
Ndio. Ana utapiamlo wa akiliko jamaa ako na njaa
Ndio. Ana utapiamlo wa akili
Mwizi amkemee mwizi!Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.watetezi wa demokrasia wakina lissu na amsterdam nasubiri watoe tamko la kuwawekea vikwazo vya kiuchumi marekani
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
IGP wa kule katoa ruhusa watoe kipigo. Hujaona askari wa Marekani wanavyotoa kipigo cha Mbwa koko kwa wafuasi wa Trump? basi nenda youtube andikaPamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
Jamaa wewe muongo sijawahi kuonaIGP wa kule katoa ruhusa watoe kipigo. Hujaona askari wa Marekani wanavyotoa kipigo cha Mbwa koko kwa wafuasi wa Trump? basi nenda youtube andika
Chaos in Washington as Trump supporters storm Capitol and force lockdown of Congress
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUAIGP wa kule katoa ruhusa watoe kipigo. Hujaona askari wa Marekani wanavyotoa kipigo cha Mbwa koko kwa wafuasi wa Trump? basi nenda youtube andika
Chaos in Washington as Trump supporters storm Capitol and force lockdown of Congress
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUAHivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
Rais Emerson Mnangagwa wa Zimbabwe amekemea vikali tishio hilo la TRUMPHivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
Polisi kule wameua watatu.. au hujui hilo?Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
Wanadhani inahalalisha uchafuzi waliofanyaMajitu mengine toka chato hata ukiyauliza yalipata kura ngapi mpaka yakapewa madaraka hayajui. Habari ya Trump ni njema kwao
Huku kwetu mambo hayo tunayaona sana. Ndio sababu hatushangai hata kidogo kuhusu hilo tusionekane wanafiki.Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?