Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,643
- 22,243
Wao walikwisha mchukulia hatua, alichokifanya, kwetu ingekuwa ni amri ya Rais!Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
Twitter nayo imemfungia kabisakabisa akaunti yake! Huku mtandao ungezimwa ili tusishutumu!