GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,791
Nina Jirani yangu Mmoja ana Watoto Saba ( 7 ) ila hakuna hata Mmoja amefanana nae achilia mbali hata Kufanana na Wazazi wake na Ndugu zake lakini anawapenda kweli kweli. Yaani Mimi nizae na Mwanamke Watoto Saba ( 7 ) kama hao halafu hata Mmoja hajafanana nami kwa chochote kile huyo Mwanamke ndiyo Siku hiyo atajua ni kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna ' Kolabo ' na kwanini katika Mikoa yote kuna Mashoga ( Mabwabwa / Mapunga ) ila Mkoani Mara ( Musoma ) hakuna.
Jamani wana Dar es Salaam, Kilimanjaro na Morogoro hasa Wanaume ' mmeshtuka ' na nini hadi mnapima sana DNA za Watoto wenu?
Jamani wana Dar es Salaam, Kilimanjaro na Morogoro hasa Wanaume ' mmeshtuka ' na nini hadi mnapima sana DNA za Watoto wenu?