mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 398
- 339
Ndo mumeona hili ndo tundu la kufugia hao ndege.Inauma na inaudhi, mtu ambaye hajajenga flyover, kununua ndege wala kujenga bwawa kukubalika hivyo. Tena hayo yanafanyika huku nchi ikiwa imeshurutishwa kuamini kuwa mtu huyo ni msaliti. Hali hiyo inaonyesha wananchi bado wanataka mabadiliko, na hawajayapata, bali miradi inayofanyika kwa kodi za wananchi ndio inatumika kulazimisha nchi irudi kuwa ya chama kimoja cha watoa rushwa. Mbinu pekee ni ushindi kama ule wa SM, maana wananchi hawaonekani kusujudia vitu.