Uchaguzi 2020 Je, ni kwanini Magufuli anatafuta wadhamini kimya kimya?

Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Aende kuomba wadhamini Akiwa kuzungukwa na ma AK45 , itakuwa ni sawa na kwenda kuwalazimisha watu wamdhamini
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Wanataka hiyo style yake ije iwe SI Unit ili wamuengue Lissu kuwa yeye ameshaanza kampeni kabla ya muda.
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Bila Figisu Jiwe hapati huo udhamini
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Mkuu watu 200 unawapataje kwa mfano bila mkutano?Magu nae alifanya baada ya kuchukua form pale Dodoma but also this has been a practice kila mwaka hata 2015 wagombea walifanya hivyo
Watuwengi hawajui km nilazima upate wadhamini kwakuzunguka nchi nzima pia wananchi wamemisi kinyemi japo nikidonda
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
mkuu mbona miaka yote wangombea hutembea kuomba wadhamini na hawajawai kukatwa sema maghu na chama chake kaamua ndo iwe staili yao na hata hivyo ccm 2015 mgombea husika alitembea kimia kimia.so ndo mfumo anaoutaka ,
 
Bwashee watu wengi wanaoenda kwa Lisu ni akina " Thomaso"......wanakwenda kujiridhisha kama " Ni Yeye " kweli?

Ni kweli, na wakishajua ni yeye kifuatacho ni kura tu. Hapa tume ya uchaguzi ndio tegemeo pekee. Magu hana sifa ya kushindana kwa box la kura toka akiwa mbunge, na lazima safari hii aagize kile alichoagiza kifanyike kwenye chaguzi za marudio, na uchaguzi wa SM.
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Anajuwa uchafu wake na anajuwa hakubaliki katika makundi mtammbuka ya WaTanzania. Sioni Magufuli akipata hata 30% ya kura. Atapata kura za akina Makonda na ndugu zake wa Chatto anaowapa uteuzi kila siku.

Wa Tanzania wote au wenyewe au ndugu zao amewaathiri kimaisha kwa maamuzi haya:-
-Kuwaondoa wanafunzi wa UDOM waliokuwa wanasoma ualimu wa sayansi
- Kufuta wafanyakazi wa vyeti feki
- Kuwatumbua wafanyakazi bila kufuata sheria
- Kutopandisha mshahara na madaraja
- Kutotoa ajira kwa wahitimu wa vyuo
- Kuvunja nyumba za Kimara na kuachia za Mwanza
- Kubagua maendeleo majimbo ya wapinzani kama Kilwa
- Kuzuia wanafunzi wenye mimba wasiendelee na masomo
- Kumtimua CAG makini kwa vile kuulizia ufisadi wa Tsh 1.5 Trilion
-Kuua wakosoaji kama BenSaa Nane na Azory Gwanda
- Kutumia vibaya fedha za Serikali kama ujenzi wa kiwanja cha Ndege Chato na mbuga ya Burigi
- Kuwaweka rumande wafanyabiashara kwa makosa ya kubambikiza kama Rugemalira
-Kuwabambikiza makosa wakosoaji kama Kabendera
- Kutunga sheria kandamizi
-Kutawala kwa kidikteta
- Kuvuruga wafanyabiashara kama Yusuf Manji
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Ni hapo ndipo tunaweza kujifunza kupitia tofauti kati ya madini ya chumvi na dhahabu kwa mwanadamu. Ijapokuwa madini ya chumvi yana umuhimu mkubwa ktk uhai na afya ya mwili mwa mwanadamu, lkn kutokana uwingi na urahisi wa upatikanaji wake unayafanya madini haya kuwa na thamani ya chini sana.

Kwa upande wa dhahabu, licha ya kutokuwa na umuhimu mkubwa ktk uhai na afya ya binadamu, lkn uchache na ugumu wa kupatikana kwake ndio unapelekea thamani yake kuwa juu sana. Kwa mantiki ya uthamani huu wa madini hayo ndivyo ambavyo tunaweza kulinganisha hoja za hatma ya mama Tanzania kati ya T 2020 TAL na T 2020 JPM.
 
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake

Ameshaonywa na kutahadharishwa na wanaCCM wazoefu kuwa makini....

Huyu jamaa ni "very loose" katika kufikiri na kisha kusema...

Juzi kati hapa kaachiwa kidogo, akafyatua (ropoka) vitu very unbelievable kabisa akidhani ni "hoja" za kumuua mpinzani wake kumbe ni "viroja" vya kumchinja mwenyewe...!!

Alitoa kauli mbili za kipuuzi sana na uongo kabisa hizi;

1. "....kuna mtu (akimaanisha Tundu Lissu) alisema, ooh tukichukua hatua za kulinda madini yetu, eti tutashitakiwa. Hatujashitakiwa popote. Huyu mkimchagua ataiuza nchi kwa mabeberu :oops: :oops::oops:...."

2. ".....Mkiwachagua wapinzani, watazibomoa barabara zote tulizozijenga na kung'oa mataruma ya reli ya 'SGR' na kuuza kama 'scrapers':p:po_Oo_O....!!"

Sasa eti hizi ndizo "nondo" za kutumiwa na "Daktari msomi" Magufuli kwenye kampeni zake..! Ni kichekesho, au siyo?

MAJIBU YA TUNDU LISSU KWA KAULI HIZI:

Tundu Lissu alimvyomjibu, naamini kabisa hana raha wala amani ya kampeni mwaka huu. Imebidi wakae, wajipange upya kwa kuandaa propaganda za UONGO mwingine....

Maana kumbe mwaka huu pekee wa 2020, Tanzania imeshashitakiwa na kuna kesi 3 ktk mahakama za usuluhishi wa migogoro ya kibiashara za kimataifa...!!

Kwa kuona hii ya majaribio ime - backfire kwa kishindo kikuu, imebidi wampe likizo kidogo pengine waanze kufikiri vizuri namna ya kukabiliana na genius Lissu....
 
Back
Top Bottom