Je, ni kwanini Kimara-Mbezi hakuna mafuriko?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,890
43,782
Japo hata kule mabonde yapo lakini sijawahi sikia watu wameokolewa juu ya bati, ni kwanini eti?
 
Maeneo mengi yapo kwenye muinuko, maji yanapita tu hayakusanyiki
 
Japo hata kule mabonde yapo lakini sijawahi sikia watu wameokolewa juu ya bati, ni kwanini eti?
Maeneo ya Mbezi-Kimara hay a adhiriwi na mafuriko kutokana na jiografia ya milima milima. sababu kuu za maeneo kutokubwa na mafuriko ni:-
1. Water table ipo mbali kutoka surface ya juu ya ardhi . hivyo inaruhusu maji kupenya na kuzama chini zaidi.
2. Wakazi wa maeneo haya hawajajenga maeneo ya vyanzo vya maji kama mito.
 
Back
Top Bottom