t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,367
- 14,752
Nimeogopa sana ,!! Sukari kumbe ni tatizomkuu iko hivi.
maranyingi sukari katika mwili wa mtu ambae tunasema ni mgonjwa wa kisukari ikiwa juu kwa muda mrefu huwa inachakaza mwili hasa inaanza katika mishipa ya damu na baadae inachakaza ngozi na ndo maana ukimwangalia mtu mwenye sukari ambayo ameshindwa ama hajaidhibiti kwa muda ngozi huwa na mwonekano tofauti....