Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe nilijua tu, haya uliza baba.
Huku kwema sijui huko
Ngumu hasa.Sijasoma thread, ila kwa kuangalia heading tu naweza kusema hii topic ni ngumu sana.
Ngumu hasa.
Ngoja tuaubiri wajuzi tuone wanaeleza vipi haya mambo.
Nasubiri kwanza mtoa mada aniambie alipo ongelea "ulimwengu wa kiroho" alimaanisha nini ?Nilivyokuona tu nikajua utaanza kufungua codes, nasubiri majibu kwanza ndiyo nisome swali.
Super Villain, mh!I'd za JF tunatumia tu kwa sababu tu yakuweka kamipaka tu lakini wengine tunamajina yetu mazuri tu.