Je, ni Kosa Kubadili Engine tofauti ya Card ya gari?

farazuu

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
365
451
Wadau kwema,

Nina gari aina ya Nissan sasa nimepata engine mpya ya Toyota Corola je body ya Carri Nissan na Engine Toyota kuna kosa kisheria?

Na je inawezeka kubadilisha card ya gari ikaruhusiwa
 
Hakuna kosa kisheria unachopaswa na kuanzia kwa vehicle inspector atakupa fomu utaenda nayo TRA kubadili taarifa za gari kama jina la engine na serio namba za injini.

But kuna gharama unalipia kadi inakuja na taatifa mpya usipofanya hivyo inakuwa kosa kisheria .. maana taarifa zinachengana
 
Hakuna kosa kisheria unachopaswa na kuanzia kwa vehicle inspector atakupa fomu utaenda nayo TRA kubadili taarifa za gari kama jina la engine na serio namba za injini. But kuna gharama unalipia kadi inakuja na taatifa mpya usipofanya hivyo inakuwa kosa kisheria .. maana taarifa zinachengana
Upo sahihi,wakati mwingine mtu unaweza kujikuta unatumia engine ya gari lililoibwa,kufuata taratibu rasmi inaepusha mengi ikiwemo usumbufu usio na tija
 
Back
Top Bottom