lutamyo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 641
- 159
Jamani naomba kujua hivi hawa Tanesco wanatukomoa au maana kwa nijuavyo mimi luku hukatwa 18% ya VAT sasa makato wanayodai ni kodi 5901.63 kwenye Tshs 10,000 hivyo kunisababishia kupata umeme wa Tshs 4098.37.
Huu ni wizi wa wazi unaofanywa na serikali kupitia Tanesco na kama ni kodi waseme ni ya nini sio kukata tu bila mpango maana VAT ya 10000 ni 1525.55 kwa kufuata kikotozi cha TRA.
Hapo ndio tunasema serikali haina mpango madhubuti wa kuongeza pato la taifa zaidi ya kukamua wanyonge.