Je, ni kisasi kutoka Marekani au matukio tu?

CIA kazini..jamaa walishapewa maelekezo na jaluo.

Kama wangekuwa wakali kivile Hillary angeshinda uchaguzi, sasa nini kilicho tokea?

Haya mambo ya kuchukulia CIA kama ni taasisi ambayo ni omnipresent, omnipotent, omni-you name it -yote hayo hayana ukweli wowote ni taasisi ya kijasusi kama taasisi nyingine za kijasusi Duniani hawana kitu chochote zaidi ya propaganda na mauuaji ya watu wasio na hatia na kuchochea colour revolution.
 
ushashema wako wazuri zaidi kwenye propaganda, mauaji na kuchochea mapinduzi, alafu hapo hapo unasema wako sawa tu wengine. Hivi mtu anayeweza kufanya hayo miaka yote tangu enzi hizo mpaka leo kwa maslahi ya Taifa lao huoni ndio ubora wenyewe huo?
 
Kama ni hatari walikuwa wapi Putin akiwachagulia Raisi????
Kwani kuchaguliwa Putin ndio kigezo cha kupima ubora wa CIA. Hivi Umoja wa kisovieti na Russia ya sasa hivi ipi ija influence kubwa duniani kwa ujumla?
 
Kama ni hatari walikuwa wapi Putin akiwachagulia Raisi????
Putin aliwachagulia rais gani?...Kumbe na wewe umeathirika na siasa chafu za waliberali!!?..
Yaani hadi leo kuna mtu anaamini Trump alisaidiwa na russia kushinda?...hahahaha..Hata kama russia wasinge hack zile email na DNC Bado uwezekano wa clintoni kushinda usingekuwepo,na wamarekani hawakuwa tayari kuongozwa na demos kwa mara nyingine,Hapa naongelea wamarekani wazungu ambao ndio walio wengi na ndio waliompigia kura nyingi Trump...Toka mwanzo trump hakuhitaji kura za race nyingne yoyote cos aliamini wazungu tu wanatosha kumpeleka ikulu.
Tukio la balozi wa Russia kupigwa risasi ni la kigaidi kama mtukio mengine ya kigaidi,nashangaa sana kila baya lolote against russia analaumiwa USA.Russia kuingia syria lazima a pay the price,wewe unafkiri yale mabomu yanayoangushwa kule aleppo na ndge za russia hayajauwa watu wasio na hatia?Kuna watu wamepoteza familia zao na watoto wao sababu ya airstrike..Sasa wao kama binadamu lazima wawe na roho ya kisasi...Yule kijana aliyempiga risasi balozi wa russia ni mtu wa syria na inawezekan kabisa victim kule aleppo na akaamua kulipa kisasi ili dunia ijue machungu aliyopata kupoteza familia yake na ndugu...Matukia ya kigaidi Turkey ni kawaida kila wakati na watu wanakufa wengi sana,ila hayo hamsemi kuna mkono wa USA ila hili la kuuuawa kwa balozi ni mkono wa USA...Hivi marekani wakamuue balozi wa russia ili iweje?
wata gain nini hasa.Kati ya kitu cha kijinga amabacho marekani hawezi kukifanya ni hiki...Huu ni ugaidi kama ugaidi mwingine,kama huamini subiri reoport ya uchunguzi inapokuja utaskia majibu yake,mark my work..
Hata ile ndege ya kule egypt watu walitolea povu sana marekani but mwishoni warusi wenyewe walisema ni IS waliidungua...
 
Kama wangekuwa wakali kivile Hillary angeshinda uchaguzi, sasa nini kilicho tokea?

Haya mambo ya kuchukulia CIA kama ni taasisi ambayo ni omnipresent, omnipotent, omni-you name it -yote hayo hayana ukweli wowote ni taasisi ya kijasusi kama taasisi nyingine za kijasusi Duniani hawana kitu chochote zaidi ya propaganda na mauuaji ya watu wasio na hatia na kuchochea colour revolution.

basi na CIA kusema russia kadukua uchaguzi ni propaganda pia. russia hakudukua uchaguzi wa marekani zile ni propaganda za magharibi tu. hata hivyo russia wenyewe wemekanusha.
 
Putin aliwachagulia rais gani?...Kumbe na wewe umeathirika na siasa chafu za waliberali!!?..
Yaani hadi leo kuna mtu anaamini Trump alisaidiwa na russia kushinda?...hahahaha..Hata kama russia wasinge hack zile email na DNC Bado uwezekano wa clintoni kushinda usingekuwepo,na wamarekani hawakuwa tayari kuongozwa na demos kwa mara nyingine,Hapa naongelea wamarekani wazungu ambao ndio walio wengi na ndio waliompigia kura nyingi Trump...Toka mwanzo trump hakuhitaji kura za race nyingne yoyote cos aliamini wazungu tu wanatosha kumpeleka ikulu.
Tukio la balozi wa Russia kupigwa risasi ni la kigaidi kama mtukio mengine ya kigaidi,nashangaa sana kila baya lolote against russia analaumiwa USA.Russia kuingia syria lazima a pay the price,wewe unafkiri yale mabomu yanayoangushwa kule aleppo na ndge za russia hayajauwa watu wasio na hatia?Kuna watu wamepoteza familia zao na watoto wao sababu ya airstrike..Sasa wao kama binadamu lazima wawe na roho ya kisasi...Yule kijana aliyempiga risasi balozi wa russia ni mtu wa syria na inawezekan kabisa victim kule aleppo na akaamua kulipa kisasi ili dunia ijue machungu aliyopata kupoteza familia yake na ndugu...Matukia ya kigaidi Turkey ni kawaida kila wakati na watu wanakufa wengi sana,ila hayo hamsemi kuna mkono wa USA ila hili la kuuuawa kwa balozi ni mkono wa USA...Hivi marekani wakamuue balozi wa russia ili iweje?
wata gain nini hasa.Kati ya kitu cha kijinga amabacho marekani hawezi kukifanya ni hiki...Huu ni ugaidi kama ugaidi mwingine,kama huamini subiri reoport ya uchunguzi inapokuja utaskia majibu yake,mark my work..
Hata ile ndege ya kule egypt watu walitolea povu sana marekani but mwishoni warusi wenyewe walisema ni IS waliidungua...
Kwani hayo maneno ya Russia kuwachagulia rais wamarekani yamesemwa na Russia au marekani wenyewe kupitia shirika lao la kijasusi pia kupitia rais wao wa nchi?
 
Wapi CIA Walisema russia wamewachagulia rais?..Walichosema ni kwamba russia wali influence election campaign kwa kumpendelea Trump,walichofanya ni ku hack na ku release zile email.Kitu ambacho hata baadae FBI walichunguza na kuona mama hakuwa na criminal case ya kujibu.Kingine ni ku hack DNC system.Sasa hapo unaweza kuanambia ni vipi hayo mambo yana prove vipi russia wamewachagulia wamarekani raisi?...Kura zilihesabiwa manually na trump alishinda tena..Sasa kama kura zilikuwa zimeibwa kwa namna yoyote ile kwa influence ya russia ingeonekana kwenye re count,sasa how bado trump ameshinda ki halali afu bado mnaisingizia russia katika hili?...Kama hamna vya kuongea bora kukaa kimya tu hutoonekana mjinga kwa kufanya hivyo..
 
Ulitarajia wasimame na kuongea moja kwa moja kuwa Russia wamewachagulia rais? Jaribu kuyavua nguo malalamiko yao unaona ndani wana nini ?
 
basi na CIA kusema russia kadukua uchaguzi ni propaganda pia. russia hakudukua uchaguzi wa marekani zile ni propaganda za magharibi tu. hata hivyo russia wenyewe wemekanusha.
Russia alidukua emails wakati wa election campaign kitu ambacho kilikuwa na impact ndogo sana katika uchaguzi wa marekani...Kudukua tu email hakutoshi kumpa mtu ushindi hasa kwa taifa kama marekani...Watu walipiga kura kwa trump na akashimda kuhalali kabisa...Ni mjinga tuu atayeamini russia walimuweka trump ikulu...Ma demos ni losers na siku zote loser hakosi sababu ya ku shindwa.
 
Ulitarajia wasimame na kuongea moja kwa moja kuwa Russia wamewachagulia rais? Jaribu kuyavua nguo malalamiko yao unaona ndani wana nini ?
Hakuna cha maana zaidi ya kulalamika tu,hata mwanzo wakati wa campeni ni haohao CIA walisema Trump hana uelewa wowote kuusu uongozi na utunzaji wa siri,hadi mkuu wa CIA kufikia kusema trump akishinda hawatoshirikiana nae na wala sio mtu sahihi wa kumkabidhi breefcase ya kulipua nyuklia..Sasa ulitemea sasa hivi waseme mazuri kwa trump wakati toka kwenye kampeni walimpinga tena kwa dharau?...Mkuu wa CIA ni demos pure na rafiki mkubwa wa obama,so kila anachoongea obama CIA nao wanaongea kilekile...Lakini kiuhalisia tu,kwa nini walifanya re count manually bado trump akaonekana mshindi?..kwa nin izo kura feki zilizozidi zisiaonekane? why?....Vitu vingine ni propaganda tu hakuna jipya hapo....
 
Hakuna cha maana zaidi ya kulalamika tu,hata mwanzo wakati wa campeni ni haohao CIA walisema Trump hana uelewa wowote kuusu uongozi na utunzaji wa siri,hadi mkuu wa CIA kufikia kusema trump akishinda hawatoshirikiana nae na wala sio mtu sahihi wa kumkabidhi breefcase ya kulipua nyuklia..Sasa ulitemea sasa hivi waseme mazuri kwa trumk wakati toka kwenye kampeni walimpinga tena kwa dharau?...Mkuu wa CIA ni demos pure na rafiki mkubwa wa obama,so kila anachoongea obama CIA nao wanaongea kilekile...Lakini kiuhalisia tu,kwa nini walifanya re count manually bado trump akaonekana mshindi?..kwa nin izo kura feki zilizozidi zisiaonekane? why?....Vitu vingine ni propaganda tu hakuna jipya hapo....

Okay, kwa hiyo tusiwalaumu wachangiaji bali tuwalaumu CIA na Obama.
 
Hizi ni propaganda ya kuchafua russia na turkey..... The war is coming soon....
 
nasubiria ile miaka yao kama ntakuepo kurease classisfied information juu ya russia
 
hata Edward snowden...sina imani nae hata kidogo......
vita kijasusi ni zaidi ya tunavyofikiria....
putin ajiongeze sana.....
Unakionaje kile kichwa mkuu? unazani snowden atapewa access na kitu chochote kwenye serikali ya urusi?? nakuhakikishia hakuna mawasiliani ya marekani na snowden na huyo snowden alishachunguzwa kitambo kama atakua kawekewa chochote kwaajili ya mawasiliano au kuchukua taarifa. achana na FSB wewe. na hayo maafa yaliyotokea urusi marekani nae ataadhibiwa tuu
 
roho za marehemu zilale kwa amani hao ni mafahari wawili watamalizana tu
huku kwetu Faru John bado anazua balaa, Zika nae kaondoka na mtu
 
Back
Top Bottom