Je, ni kawaida kufanya mapenzi bila kufika kileleni au ni tatizo?

Waheshimiwa habarini za wakati....

Naomba kujua huenda ni kawaida au siyo Hali ya kawaida.

Mimi napoanza tendo la ndoa naanza kwa furaha ila nikikojoa Mara moja kimsingi huwa sijui kuunga huwa lazima nipumzike walau dakika 15 Kama munavyojua penzi ni sitarehe pia ni afya?

Sasa shida yangu inakuja napotaka kurudia bao la pili huwa kukojoa inakuwa kazi mpaka mwanamke anasema siwezi kuvumilia akidai na mchana chana ndani, maana hukojoa inakuwa mtihani na Wala sichoki.

Kimsingi Huwa natumia busara naamua kumuacha ,pengine navuta siku nzima sijakutananae kimwili ila napotaka Tena tufanye bac hukubali ila shida pia inakuja kwenye kukojoa bila kujalisha nimemaliza siku nzima bila kuwekeana inaweza kuenda hata masaa 12 tukifanya bila hata Wala kukojoa Sasa hapa nataka kuuliza je ni hali ya kawaida au kunatatizo ingawa mm najiona kawaida tu.

Nawasilisha naombeni ushauri.
Mie mara ya mwisho jana usiku nimepiga show kama masaa ma4 hivi ila kukojoa ikashindikana kabsa.
 
Kimsingi Huwa natumia busara naamua kumuacha ,pengine navuta siku nzima sijakutananae kimwili ila napotaka Tena tufanye bac hukubali ila shida pia inakuja kwenye kukojoa bila kujalisha nimemaliza siku nzima bila kuwekeana inaweza kuenda hata masaa 12 tukifanya bila hata Wala kukojoa Sasa hapa nataka kuuliza je ni hali ya kawaida au kunatatizo ingawa mm najiona kawaida tu.
Mkuu, nashindwa kukupa pole na wala ushauri wowote but tukubaliane kwamba hapo kwenye masaa 12 umetupiga
 
Exactly! Na mkijuluana namna ya kila mmoja kumpea mwenza wake mbona patamu sana hapo!

Maake ke anaweza akamwaga maji hadi akabaki anavaibreti
true dat! truth. Vibration ya hatari na unakumbatiwa kama umebanwa na vaisi kaka.
 
Waheshimiwa habarini za wakati,

Naomba kujua huenda ni kawaida au siyo Hali ya kawaida.

Mimi napoanza tendo la ndoa naanza kwa furaha ila nikikojoa Mara moja kimsingi huwa sijui kuunga huwa lazima nipumzike walau dakika 15 kama munavyojua penzi ni sitarehe pia ni afya.

Sasa shida yangu inakuja napotaka kurudia bao la pili huwa kukojoa inakuwa kazi mpaka mwanamke anasema siwezi kuvumilia akidai namchana chana ndani, maana hukojoa inakuwa mtihani na wala sichoki.

Kimsingi Huwa natumia busara naamua kumuacha, pengine navuta siku nzima sijakutananae kimwili ila napotaka Tena tufanye basi hukubali ila shida pia inakuja kwenye kukojoa bila kujalisha nimemaliza siku nzima bila kuwekeana inaweza kuenda hata masaa 12 tukifanya bila hata Wala kukojoa Sasa hapa nataka kuuliza je ni hali ya kawaida au kunatatizo ingawa mm najiona kawaida tu.

Nawasilisha naombeni ushauri.
Hilo linaweza kuwa tatizo!
 
Back
Top Bottom