MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,298
Ila sijakufuata inbox...Mkuu weka mambo yote humu haina haja ya kufuatana inbo.
Namba na nimeambatanisha hapa pamoja na email.
Ila sijakufuata inbox...Mkuu weka mambo yote humu haina haja ya kufuatana inbo.
Huduma kwa wateja ni mbovu mno, lugha chafu, hasa kutoka kwa waswahili wenzetu walioko huko Japan, kama kawaida yetu kutaka kukomoana kisa kuna taarifa hukuiona katika mlolongo wa barua pepe zao, ukiuliza inakuwa nongwa. Sijui hata wanafikiri nini kuwa katika nafasi walizonazo.Ni vyema ukafafanua kila mtu akajua hayo majanga!
Biashara wala sio uhasama na uadui, ila tu ni ujuzi na maarifa.
Usimsemee mwingine vibaya ili mwingine aonekane bora, hapo unakua umemuwekea kitanzi unae msemea vzr.
Kwenye biashara we learn from each other.
Beforward hawa au siyo?Huduma kwa wateja ni mbovu mno, lugha chafu, hasa kutoka kwa waswahili wenzetu walioko huko Japan, kama kawaida yetu kutaka kukomoana kisa kuna taarifa hukuiona katika mlolongo wa barua pepe zao, ukiuliza inakuwa nongwa. Sijui hata wanafikiri nini kuwa katika nafasi walizonazo.
Pengine ilinitokea mimi tu, ninachoeleza ni uzoefu wangu kwa mara (moja)ya kwanza kuwatumia. Kama nitawatumia tena, sina uhakika.
Ndio.Beforward hawa au siyo?
Daah mkuu kama ni kutafuta gari humu jf nadhani una mwaka sasa unatafuta hujapata tu?Milleage zipoje?
Hahah sawa mkuu,maana naona watu hua wanatangaza kuuza magari yao humu jf unawaambia hilo gari kama litakuwepo mpk wiki ijayo ntalinunua sasa nikajua bado hujanunua aisee.Ha haaaa.. We jamaa bhana.. Aliyekuambia watu wanafunga ndoa na magari nani? Nunua tumia uza.. Nunua tumia uza.. Nunua tumia uza...
Milage za magari zinatofautianaMilleage zipoje?
SBT nawakubali sana... Nishafanya nao biasharaKwa bei nzuri sbt nawakubali