Je, Ni kampuni ipi inaongoza kwa huduma bora za kuagiza magari ya nje hapa Tanzania.

DIKASHWA

DIKASHWA

Senior Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
114
Points
250
DIKASHWA

DIKASHWA

Senior Member
Joined Aug 2, 2016
114 250
Autocom wapo vizuri,gari zao hazijatembea km nying na pia ni nafuu kulinganisha na makampuni mengine
 
A

ALLY KILUNGUZO SALUM

Member
Joined
Feb 28, 2007
Messages
57
Points
125
A

ALLY KILUNGUZO SALUM

Member
Joined Feb 28, 2007
57 125
MIMI HUWA NAAGIZA AUOREC JAPAN GARI ZAO ZIPO VIZURI INGAWA NAONA MEMBERS WENGINE WANALALAMIKA BEI YAO KUWA JUU KULIKO MAKAMPUNI MENGINE. JARIBU AUTOREC NAAMINI WAPO SAWA.
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,312
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,312 2,000
MIMI HUWA NAAGIZA AUOREC JAPAN GARI ZAO ZIPO VIZURI INGAWA NAONA MEMBERS WENGINE WANALALAMIKA BEI YAO KUWA JUU KULIKO MAKAMPUNI MENGINE. JARIBU AUTOREC NAAMINI WAPO SAWA.
Kampuni yenye magari bei juu lakini yenye quality ni japanesevehicles.com IST ya 2005 USD 3100 lakini inaquality nzuri mpaka unashangaa
 
M

mzeelapa

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
1,058
Points
1,225
M

mzeelapa

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
1,058 1,225
Nimewahi kuagiza kupitia Beforward mara tatu mimi binafsi na mara mbili niliwasaidia jamaa zangu. Wako vizuri sana. Tatizo la watu wengi wanaangalia bei. ukiona gari lina bei rahisi ujue ni la zamani zaidi au limetembea Km. nyingi. Pia unavyoangalia picha za gari chunguza zaidi na unaweza kuwaomba wakutumie picha kwa sehemu ambayo una mashaka nayo. Mara nyingine picha zao huonesha na sehemu yenye hitlafu hasa katika body. Kwa ujumla picha zao sio fake. Pia unaweza ku-negotiate bei.
Kuna jamaa yangu pia aliwahi kuchagua gari kwenye mtandao, na alipoliagiza baada ya ukaguzi akaambiwa gari hilo halifai. Maana yangu magari yao hukaguliwa kwa umakini zaidi ingawa hata makampuni mengine hukaguliwa ili gari linaloingia nchini liwe katika kiwango kinachokubalika.
Unaweza kupata gari lako ndani ya mwezi mmoja kulingana na ratiba ya meli. Movement zote unapata mtandaoni, tangu siku wanayofanya ukaguzi, linavyopakiliwa melini, siku ya kuondoka na siku ya kufika mara nyingi tangu meli iondoke bandarini ni siku 21.
Sijajaribu makampuni mengine kwani nimeridhika na hawa jamaa.
 

Forum statistics

Threads 1,324,583
Members 508,741
Posts 32,167,014
Top