Je, Ni kampuni ipi inaongoza kwa huduma bora za kuagiza magari ya nje hapa Tanzania.

Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
7,025
Points
2,000
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
7,025 2,000
Wajuzi tafadhali mtuambie nataka kufanya uwamuzi.
Nafahamu kuna kampuni kadhaa za uagizaji magari hapa nchini zikiwemo Beforward, autocom Japan, Sbt n.k. Naomba wajuzi mtuambie kampuni ipi ni nzuri ukiitumia katika kuagiza magari...
Tafadhali lenga katika nyanja zifuatazo....kama una experience mbaya ni vyema pia ukatuambia.
1. Huduma bora kwa wateja/ customer service
2. Uharaka wa kufika kwa magari.
3. Bei nafuu
4. Uhakika na usalama wa transactions.
5. Magari yenye quality nzuri.
 
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,013
Points
2,000
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,013 2,000
Nafahamu kuna kamouni kadhaa za uagizaji magari hapa nchini zikiwemo Beforward, autocom Japan, Sbt n.k. Naomba
Autocom inakidhi vigezo #1 hadi #5

Pia kizuri zaidi kuhusu Autocom ni kuwa mmoja kati ya wafanyakazi wake hapa TZ ni active member wa JF ni huyu ndugu renyo .
 
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,344
Points
2,000
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,344 2,000
autocom wapo vizuri! befoward majanga
 
BLACK MARXIST

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
1,721
Points
2,000
BLACK MARXIST

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
1,721 2,000
Nenda Beforward hutojuta, tembelea ofisi zao karibu na hospital ya ocean road.
 
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
2,425
Points
2,000
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
2,425 2,000
Mbona uzi umekimbiwa?
Habari Mr. Mtui, ikiwa utakua na amani, unaweza kunitumia Mimi (ecarstanzania) japo ni kampuni changa na inayo chipukia.


Sitaki kujiongelea zaidi na hata kuhusu vigezo ulivyoweka maana naweza kuonekana najifagilia, ila naomba nifanye kwa vitendo nawe utanipa "maksi"


Karibu!
 
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
2,425
Points
2,000
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
2,425 2,000
autocom wapo vizuri! befoward majanga
Ni vyema ukafafanua kila mtu akajua hayo majanga!


Biashara wala sio uhasama na uadui, ila tu ni ujuzi na maarifa.

Usimsemee mwingine vibaya ili mwingine aonekane bora, hapo unakua umemuwekea kitanzi unae msemea vzr.

Kwenye biashara we learn from each other.
 
Mr Equalizer

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
614
Points
1,000
Mr Equalizer

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
614 1,000
Nimewahi kuagiza gari kupitia Beforward mwaka 2015 , walinihudumia vizuri kiasi fulani, ila bei nilikuja kugundua kuwa wamenipiga nilipolinganisha na kampuni zingine kwa gari husika.
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,829
Points
2,000
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,829 2,000
Msisahau Instagram pia, wana service nzuri sana ya kuuza magari yaliyochakaa ya washikaji. Mtu kanunua gari miaka 10 iliyopita kwa milioni 4, anaiuza kwa milioni 6 ili apate faida wakati gari limechoka kishenzi. Wabongo kwa biashara uchwara, kwa kweli hawajambo.
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
7,025
Points
2,000
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
7,025 2,000
Habari Mr. Mtui, ikiwa utakua na amani, unaweza kunitumia Mimi (ecarstanzania) japo ni kampuni changa na inayo chipukia.


Sitaki kujiongelea zaidi na hata kuhusu vigezo ulivyoweka maana naweza kuonekana najifagilia, ila naomba nifanye kwa vitendo nawe utanipa "maksi"


Karibu!
Mkuu weka mambo yote humu haina haja ya kufuatana inbo.
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
7,025
Points
2,000
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
7,025 2,000
Msisahau Instagram pia, wana service nzuri sana ya kuuza magari yaliyochakaa ya washikaji. Mtu kanunua gari miaka 10 iliyopita kwa milioni 4, anaiuza kwa milioni 6 ili apate faida wakati gari limechoka kishenzi. Wabongo kwa biashara uchwara, kwa kweli hawajambo.
Na mm nmeliona pia..
 

Forum statistics

Threads 1,324,583
Members 508,741
Posts 32,167,105
Top