Je ni jambo gani moja kati ya haya ni la aibu zaidi?

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
1. Wakati unaenda kuoga taulo kukudondoka mbele ya binti za mwenye nyumba
2. Mama mkwe kufungua malango na kuwakuta mko faragha na mkeo
3. Ukiwa unafundisha wanafunzi wako ushuzi ukakutoka kwa kishindo kikubwa
4. kulewa hadi kuzima na watu wakala tigo
5. Mkeo kukufumania live na house girl
6. Kukutwa na waumini kwa mganga wa kienyeji huku wewe ukiwa kiongozi wa dini
7. Kukutwa buguruni katika danguro la dada poa huku ukiwa wewe ni Mh. wa Jimbo fulani
8.Kukutwa na wanao wa kike ukiwa unatoka na shoga maarufu la mtaani kweni katika nyumba ya wageni
9. Kukutwa na wanachama wenzio katika vikao vya siri vya chama fulani ambacho kadi yake uliirejesha kwa mbwembwe katika mkutano wa hadhara
10. Kukutwa na jirani zako ukiwanga bila ya nguo
 
mhh zote aibu ila kidogo afadhali ya tisa bwana hakuna nomaila zingine zote mbaya utakufa hukikutwa kaka
 
Back
Top Bottom