Je, ni ipi sababu kubwa ya ongezeko la singo maza kwa sasa?

Sababu ni moja tu, wanataka kuish kupitia papuchi Yan wamefanya papuchi ndo kamradi kakupatia hela,,, Sasa hizo mimba ni za ajali kazn na ndo inakua imeisha hiyo
 
Labda tungewauliza hao single mothers
Je huwa wanaendaga kufanya vipimo vya HIV na hao wanaume walozaa nao kabla ya kubeba hizo mimba?

Kama siyo Je chances za single mothers za kupata maambukizi ya HIV ikoje?

Je risk profiles zao za uwezekano wa kupata maambukizi ya HIV ukoje?

Tuyatafakali haya kisha tuchukue hatua.

Afya ni Mtaji!
 
Back
Top Bottom