Wakati ule kulikiwa na utaalam wa kuchora picha ya mtu; nafikiri katika makabrasha ya kumbukumbu lazima kuna picha halisi ya Yesu ( iliyochorwa).Yesu hakuwahi kupiga picha
Hatuna uhakika kama Yesu alikuwa mtu mweupe ama Mweusi, kweli technologia kipindi kile ilikuwa bado mno.