Je, ni ipi njia sahihi ya kuifanya pesa yangu benki iendelee kupanda thamani?

Hamna bank Tanzania ambayo unaweza hifadhi pesa zako kwa mfumo wa gold bars best way ni kusave katika mfumo wa dollars kama anaweza aende standard Chartered bank afungue account ambayo anaweza kuweka pesa in both ways ila achague ipi iwe na mfumo upi
Uwe unanunua gold unatunza. Ndyo money value inayopanda thamani kwa haraka. Hata USD value yake inashuka.
ank
 
Iko hivi:-

Kila kukicha pesa yetu inashuka thamani 10,000 ya leo kesho itakuwa ni pesa ya kununua kikombe cha chai.

Sasa maada yangu ipo hivi!:
Ikiwa nimeweka 100,000 benki leo hii baada ya miaka 30 itakuwa ni pesa ndogo kulingana na thamani ya shilingi yetu kuendelea kushuka hivyo waweza ona Nakuja itoa na kununua shati tu. Nami sitaki iwe hivyo.

Nimefikilia niwe naweka kwa ku exchange rate na kuwa dola na kuiweka kama dola Nakuja itoa kama dola ila bado naona kuna ugumu maana napenda niwe najaza pesa kwa kutumia simu ya mkononi kwenda kwenye akaunti.

Je, ni ipi njia sahihi ya kuifanya akiba yangu iendelee kupanda thamani?

Msaada tafadhal
iweke ndani sas
 
Hapa kidogo nimekuelewe, ila shida inakuja kama nyumba ikaungua moto. Au wevi wakaja iba vitu ndani.
Na je siwezi nikaja tapeliwa hata kwenye uuzaji,. Nipe elimu kidogo juu ya hilo.
You are such a pessimist unataka vitu vizuri but u cant hedge the risk
 
Nimetumiwa ni share so sijajua mwenyelinki anapata kiasi ganii vp kwani kunanjia nyigne za kuvuna rahisi kuliko hii
Nakuhakikishia hawezi kuwa na hela ya maana kwa kushare link za hivo kwenye magroup ya kibongo maana wanalipa kidogo sana imagine labda $1 per 1000views labda nchi za ulaya huko,ni kazi ngumu sana nimefanya miaka ya nyuma sana bila mafanikio sababu link za hivo zinakuwa banned na facebook wanaziterm kama spam na huko ndo kuna uhakika hasa wa kupata viewers wengi kwa mkupuo, so ni kuchezea muda wako tu, bora ujifunze financial markets kama forex au binary options pengine unaweza ukamake something.
 
Back
Top Bottom