Je ni halali waTZ kupandishiwa bei ya Umeme wakati twalala kizani?

Dalus

New Member
Feb 26, 2011
1
0
Wakuu, heshima zenu
nilidhani tulipopandishiwa bei ya nishati tutaipata wakati wowote tukiihitaji japo kwa maumivu au kwa mwendo Wa kuruka! Kumbe sivyo? Je hii mnaionaje wakuu? Natumia kasimu kangu hapa coz no power since yesterday.. No pc.. No radio.. no TV... No fan.. No AC.. No etc.....
 
Nchi imeuzwa.hakuna uzalishaji,mapato ya serikali chini,maisha yanapanda kwa kuwa gharama za kuzizalisha zipo juu..hakika kufa hatufi lakini cha moto tunakiona
 
Back
Top Bottom