Je, ni halali Rais mgombea kuteua Tume ya Uchaguzi itakayomtangaza yeye?

Ati rais anateua..?!
Mi naona ni mwenyekiti wa CCM ndo anateua. Akishapitishwa kuwa mgombea na kuwa rais, kwa mujibu wa hii katiba, anateua kila mtu. Viongozi wote wa mihimili, anawateua yeye. Nambie jinsi Ndugai ataweza kufurukuta!? Jinsi kiongozi wa majaji anavoweza kujidai ni mhimili unaojitegemea!!

Nani mwingine? Polisi?... yupi?
Kwa lugha hiyo, ni CCM inayoamua nani awe rais!!
Halafu wanajitokeza watu mashuhuri wanasema katiba hii ya ccm ndo inayotufaa wooote, wenye vyama na wengineo. Halafu Trump akiwatukana mnalalamika ati ni beberu limewatukana.
Mimi nafikiri, kwa tabia zetu, tunadhihirisha kuwa ni "Shithole" ki maukweli. Hakuna namna
 
Back
Top Bottom