Je ni halali kwa shule za seminari kudahili dini moja tuu? DEBATE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni halali kwa shule za seminari kudahili dini moja tuu? DEBATE

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The only, Dec 15, 2011.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Kumekuwa na huu mkanganyiko ,mimi nahisi ni halali kwani ile ni sadaka za DINI HUSIKA hivo haitegemewi zisaidie mfano tuseme mbudha,rastaman e.t. kwani nao wanasadaka zao NA WANARUHUSIWA KUJENGA ZAO.

  Kwa upande mwingine this is wrong kwan inajenga misingi ya kuigawa jamii mfano tufanye elimu ilioko huko ikawa bora zaidi inaweza fikia mahali dini moja ikawadominated na kuzalisha struggling class.

  I submit.
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwamba ngozi huvuta kwake so jambo kama hili sio la kushangaza
   
 3. H

  Haika JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Umepotea sana, shule za seminari ni maalum kwa kuandaa makasisi tu, wanawachuja vijana tangu wadogo, hadi wachache wanaobakia kama baada ya miaka 10 au zaidi ya levels za masomo ya dini na kijamii ndo wanakuwa makasisi. Haiwezekani kufundisha kijana wa dini ingine kuwa kasisi wa dini ingine. Maana ya seminari ya kikristu ndio hio, pia ujue mchujo hauanzii hapo, hao wavulana hutakiwa kuwa wanajulikana makanisa wanayotoka na viongozi husika lazima waandike referal. Ila hao vijana wa dini zingine wanaweza kusoma shule zingine ambazo si seminari, hata sie wenyewe tunazitamani ila kama huna wito wala lengo la kuwa kasisi uongo utakuwa unakusuta siku zote
   
 4. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kabla ya kuandika kitu hebu kaa chini na ufikirie kwanza. umewahi kujiuliza nini maana ya seminari? kama la basi tembelea hata pocket dictionary then utapata maana sahihi na nadhani hii thread yako utaiondoa
   
 5. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani unazungumzia seminari zile za kiislamu au kikristo?
   
 6. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Mimi ninalojua ni kwamba seminari ni spesho kwa ajili ya kuandaa mapadre tu basi na hakuna jingine ila nisijue ni nini kilifanyika mpaka leo hii kuna seminari hata za waislam sina uhakika kama na kule wanaandaa mashekhe au ni vipi?
   
 7. U

  UZEE MVI Senior Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  This is 100% true. This is the meaning of shule zetu za seminari. Kwa sababu ya kujali mahitaji ya kijamii ambayo huenda baadhi ya taasisi na serikali vimeyatia kapuni ndiyo maana kuna shule kama marian girls, kifungiro, ikizu na nyingine kama hizi. Hizi siyo seminari na kwa hiyo zinadahili watu wa dini zote pamoja na wale wasion na dini.
   
 8. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kijana kama umesoma basi ungumbaru bado haujatoka kichwani mwako.
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  A seminary, theological college, or divinity school is an institution of secondary or post-secondary education for educating students (sometimes called seminarians) in theology, generally to prepare them for ordination as clergy or for other ministry. The English word is taken from the Latin seminarium, translated as seed-bed, an image taken from the Council of Trent document Cum adolescentium aetas which called for the first modern seminaries.
   
Loading...