Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je,ni halali kukamatwa gari yangu kisa sina stika ya fire?.msaada please wanajf

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Wizzo, Oct 17, 2011.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  jamani wanajf,mimi gari yangu haina stika ya fire sasa polisi wanansumbua sana,fire extinguisher ninayo lakini kila siku nakamatwa eti sina stika ya fire,nauliza hivi hili gari ni la kwangu sasa hata likiungua wao linawahusu nini je ni halali kukamatwa na polisi kisa sita stika ya fire?
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,135
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  halafu utashangaa hawatoi matangazo kuwa stika zinapatikana wapi?mpe rushwa buku 5 uachane nae!daladala ina stika 7 zote ni pesa tuu.hapa nilipo naitafuta ya wiki ya nenda kwa usalama
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Stika maana yake ulilipia fire extinguisher, ukapata induction ya kutumia fire extinguisher , na ukapewa fire extinguisher.
  Kua na fire extinguisher bila stika kuna leta mashaka kuhusu namna uliipata na kama unajua kutumia.
  Ni mtazamo wangu
   
 4. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  hawa jamaa ni noma,buku buku wanachukua sana kisa fire,wananiudhi sana iko siku ntawatolea uvivu
   
 5. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  unajua stika ilitoka kwa kuloa na maji so sina stika tena,kutumia worry not najua
   
 6. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Kuepuka usumbufu nenda pale Fire na 5000 utapata hiyo stika bila zengwe.

  Hata hivyo kuwa navyo vyote haikupi garantii ya kutokamatwa, maana wakiona una kila kitu atakwambia mtungi wa fire extinguisher ni mdogo unatakiwa kuwa na wa 2kgs.
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,654
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160

  Mkuu kila gari inatumia barabara na miundo mbinu mingine ya umma....
  Kwa hiyo gari lako kuungua ni public concern....
  Ila pia usisahau hasara ya moto kwa mtu mmoja ni hasara kwa umma....uchumi wa mtu mmoja mmoja ni muhimu sana kwa uchumi wa taifa!


   
 8. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pole sana mshirika, hawa jamaa walinipiga sana bao kwa ajili ya hiyo sticker ya fire hadi nikaamua kulipia kukwepa usumbufu. Mie naona trafic kabla hajapeleka mboga nyumbani atatfuta kisingizio hadi akutoe upepo, ni kiashirio cha matatizo makubwa zaidi ndani ya mfumo wetu wa utawala.
   
 9. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ok thanks people kwa ushauri wenu,ngoja nkakate stika nyngne although ni dili ya watu wachache tu
   
 10. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi naelewa ila sheria inasema unatakiwa kua na stika ndio ushahidi wa kua ulipata induction.
   
 11. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa hv wanakomalia week ya nenda kwa usalama!mm walinikamata,sticker ninayo ila ipo kwenye droo,jamaa nkamwambia nimeichukua mda s mrefu kwa trafic mwenzio hapo moroko,alistuka!akasema ubandike basi,akaniachia!wazush kweli/hawa jamaa
   
 12. a

  actus Senior Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hapo penye nyekundu nakupa mfano wa mtu anashtakiwa kwa kutaka kujiua mwenyewe sasa unashangaa kwa nini ashtakiwe wakati ana maisha yake na maamuzi juu ya mwili wake.?sasa ndo ww unayeshangaa watu wako concend na gari yako ingawa hata hawajui bei yake na umelipataje kiufupi hakukuchangia.ndugu that is the law.
  sasa suala la stika ya fire kama uliivyo iita naomba tujiulize whether kuna sheria inayosema hivyo kuwa na stika ya fire?la kujua ni kwamba no one can be charged with non existing offence.kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa huwezi kushtakiwa kwa kosa ambalo sheria haijatamka kua ni kosa.mfano kama sheria haijatamka kua kutofunga mkanda wa gari ni kosa basi hata kama usipofunga usiogope kukamatwa na kua charged kwa kosa hilo kwa sababu si kosa
  hivyo hivyo kwa issue ya stika ya fire nadhani hao jamaa wanajua kua watanzania ni waelewa hivyo kutokua na stika ya fire itakua ni kosa.
  zinapatikana vip hapo ndo patamu kwani Tanzania ni zaidi uijuavyo.
  Kwa kutaka kujiridhisha soma Traffic road act uone inasemaje ktk hilo.au any by law to that effect.
   
 13. d

  daisy Senior Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wengi wamebandika hizo stika kwa magari yao lakini hawajui ni kwa ajili gani hata ungemuuliza huyo trafiki aliyekukamata ni sheria gani umevunja kwa kutokuwa na hiyo stika ya fire asingeweza kujibu.
  Mi nakumbuka last year hapa A town police wala sio trafic walikuwa wanakamata magari yasiyo na stika, wakanipiga mkono nikasimama ooh mbona huna stika ya fire nikawambia lakini fire extinguisher ninayo, akajibu basi hujakaguliwa unatakiwa ikaguliwe lafu upewe stika, basi nikampa efu 10 akaniandikia hiyo stika wala hajaikagua hiyo fire extinguisha wala nini.
  Basi badae nikuiza tu hivi nini hii kitu ya stiker za fire extinguisher ndio nikaeleweshwa kwamba inatakiwa upeleke gari lako ukiwa na fire extinguisher ikaguliwe ikionekana ipo OK hiyo extinguisher ndio unapewa hiyo stika.

  kwa ufupi sio kosa kutokuwa na stika kwa gari ila ni kosa kutokuwa na fire extinguisher kwa gari. kama vile ambavyo sio kosa kutokuwa na stika ya usalama barabarani, kwani wengi wanazo lakini magari yao sio roadworthy ambayo ndo maana hasa ya hiyo stika kwamba gari imefanyiwa ukaguzi na imeonekana ni roadworthy.
   
 14. Kimolah

  Kimolah JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  hivi sticker hiyo itauzima moto?! Maana wanaiulizia sticker zaidi rather than fire-extinguisher!
   
 15. A

  Angeloos Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa kidogo hapa WAKUU, kwa hiyo mtu natakiwa awe ana sticker ya fire pamoja na ya week ya kwenda kwa usalama? Au ukishapewa hiyo sticker ya fire inatosha? na zinapatikana wapi? mwenye maelezo ya uhakika msaada please!
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 39,819
  Likes Received: 6,564
  Trophy Points: 280
  Stika ni muhimu kuwa nayo!
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,946
  Likes Received: 2,493
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu.....sticker ya fire uwe nayo....ya usalama mubarabara uwe nayo....road licence uwe nayo.....insurance uwe nayo....zebra cross uwe nayo....fuel pump iwepo sticker yake.....na ya mwisho mwendo kasi sticker.....
   
 18. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  hahahaha umenichekesha kweli mwishowe watakuwa wanauliza sticker ya mafuta uliyonunulia kama hayajachakachuliwa, sticker ya AC kama inafanya kazi sababu joto limeanza Dar, risiti ya lessen kama ulikata pale my fair au ya pale kijiweni kwa baaresa, kama huna tunakujeri muroo
   
 19. w

  waku Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wakuu me nashangaa siku hizi ukilipa road licence, unalipia na fire lakini hupewi stika ya fire, sijui jambo hilo lipoje
   
Loading...