Je ni haki?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Nyamayao naomba unisamehe but nimepata wazo toka kwenye post yako moja- Je wapwa mnasemaje juu ya adhabu ya kunyimwa gemu!! Hapana tusiite adhabu bali kwa mfano umembore/umemkosea mwenza mf. umerudi late with no reason au umemkosea tu kwa kosa la kawaida ambalo ana haki ya kuchukia.

Ukifika kwa bed ukawa unahitaji kile chakula akigoma kwa sababu ya uliyomfanyia: Je ni sawa? hutafeel offended?

Wapwa mnasemaje juu ya adhabu hii? (kwa wote)
 
atakuwa kaniudhi sasa kisaikologia hiyo si inaniaffect hata feeling zinapungua!!! tutafanyaje huku nimenuna??? trying to imagine duh!!!
 
MJ1 mie sioni kama ni vyema kumnyima mwenzio chakula yake
tatizo linakuja jambo hili inabidi ulifanye ukiwa na akili timamu na si kivingine sasa kama mwenzio kaja na kukuta umenuna akiombe gemu ..perfomance itakuwa vere poor cause ..hauko ok,hauna furaha, mambo yatakuwa bla bla

huwezi kujituma ipasavyo
 
thb nakuelewa mama lakini kuna watu wanasema wanaogombana ni thb na Xpin wakubwa na si wale wadogo (unaelewa ni kina nani hapa) so hata mkubwa akuudhi vipi wadogo wakitaka kuteta basi usiwakatalie!! Mimi yalishawahinikumba yaani ugomvi mkubwa hadi ukafika kwa wazee sasa moja ya sababu alizotoa mwenzangu ni kuwa eti siku hizi namnyima ndo nikajitetea kwa point yako mama nikajibiwa hayo. Ndo mana leo nikataka kujua ukweli hasa ingawa ni miaka imepita.
 
Aksante FL1 so ni kweli kuwa hutakiwi kumnyima hata kama utacheza chini ya kiwango.

Sijui kina baba chanja nao watakubaliana na hili?! we Xpin, Geoff, kaizer na wengineo mkuje
 
nikinyimwa gemu leo(let's take LEO USIKU)...!TOMORROW MORNING SHE GOES BACK HOME!.....period
 
thb nakuelewa mama lakini kuna watu wanasema wanaogombana ni thb na Xpin wakubwa na si wale wadogo (unaelewa ni kina nani hapa) so hata mkubwa akuudhi vipi wadogo wakitaka kuteta basi usiwakatalie!! Mimi yalishawahinikumba yaani ugomvi mkubwa hadi ukafika kwa wazee sasa moja ya sababu alizotoa mwenzangu ni kuwa eti siku hizi namnyima ndo nikajitetea kwa point yako mama nikajibiwa hayo. Ndo mana leo nikataka kujua ukweli hasa ingawa ni miaka imepita.

afu kwa nini hujui jina langu lakini???

anyway ni ngumu kwa kweli mimi binafsi hiyo inakuja automatikali akiniudhi!!! I just cant wakubwa wakigomba in that case wana madhara kwa wadogo
angalizo: usinitolee mfano na Xpini, he is dangerous in himself.
 
jamani acheni stori.

ule mgodi ni meza nzui sana ya majadiliano. hamjui kuitumia tu. nawahakikishieni kuwa mkikosa msamaha mahali pengine, kauombeni wakati wa gemu kama lender of last resort, muone maajabu. hata milima ya visasi itapinduliwa!!!!!!!!

mnacheza na tundi nini???????????
 
nikinyimwa gemu leo(let's take LEO USIKU)...!TOMORROW MORNING SHE GOES BACK HOME!.....period

Phewww

Hata kama mwenzio umemkosea? so ule msemo wa wanaogombana ni kina Geoff na Mtarajiwa wakubwa si wale wadogo ni kweli? lakini utaridhika kiwango kikiwa chini?
 
nitaridhika tu!..nitakuwa NIMELEWA,MI NIKIKOJOA TU BASI...MBONJI MPAKA ASUBUHI:D

YE NI MIHASIRA YAKE ATAJIJUA!
 
nikinyimwa gemu leo(let's take LEO USIKU)...!TOMORROW MORNING SHE GOES BACK HOME!.....period

nimekukubali mkuu.

technically, mwanmke hana ruhusa ya kunyima mzee gemu, na anatakiwa kulia hata kama haumii wakati wa gemu, ndio maisha bwana msilete mambo ya haki sawa za beijing!!!!!!!!!!!!!!
 
afu kwa nini hujui jina langu lakini???

anyway ni ngumu kwa kweli mimi binafsi hiyo inakuja automatikali akiniudhi!!! I just cant wakubwa wakigomba in that case wana madhara kwa wadogo
angalizo: usinitolee mfano na Xpini, he is dangerous in himself.

Mwe nisamehe mawazo yangu ni tanzania house of beauty (thb) am so sorry kwa kupindua jina lao bht mamii.

Ok apology for pairing you up with the dangerous man Xpin du kazi ipo.
 
bht nakuelewa mama lakini kuna watu wanasema wanaogombana ni bht na Xpin wakubwa na si wale wadogo (unaelewa ni kina nani hapa) so hata mkubwa akuudhi vipi wadogo wakitaka kuteta basi usiwakatalie!! Mimi yalishawahinikumba yaani ugomvi mkubwa hadi ukafika kwa wazee sasa moja ya sababu alizotoa mwenzangu ni kuwa eti siku hizi namnyima ndo nikajitetea kwa point yako mama nikajibiwa hayo. Ndo mana leo nikataka kujua ukweli hasa ingawa ni miaka imepita.

Sijui bht kaona hiyo bold hapo? Manake kabishiiiii! MJ! umekula Senksi hapo!
 
nimekukubali mkuu.

technically, mwanmke hana ruhusa ya kunyima mzee gemu, na anatakiwa kulia hata kama haumii wakati wa gemu, ndio maisha bwana msilete mambo ya haki sawa za beijing!!!!!!!!!!!!!!

OK.......... nyamayao njoo upate kitchen party hapa lol

Sasa akili kichwani nakubali but utakubali kiwango cha chini? maana najua hutayapata yale manjonjo ya kubinjuka kwa raha kama wifi amekasirika!

Ndio ni njia nzuri ya kumaliza ugomvi but inakuwaga applied kama mmeshaombana msamaha flani sasa kwa vile mnakuwa mnacement ule msamaha bana. why?

Na je wewe wifi amekuudhi haswa halafu unapanda kityandani tu anaanza kudai gemu utatoa ushirikiano wakati bado una hasira?
 
Halafu MJ1 umepotea kweli ulikuwa wapi? Ok turudi kwenye mada
Nyamayao naomba unisamehe but nimepata wazo toka kwenye post yako moja- Je wapwa mnasemaje juu ya adhabu ya kunyimwa gemu!! Hapana tusiite adhabu bali kwa mfano umembore/umemkosea mwenza mf. umerudi late with no reason au umemkosea tu kwa kosa la kawaida ambalo ana haki ya kuchukia.

Ukifika kwa bed ukawa unahitaji kile chakula akigoma kwa sababu ya uliyomfanyia: Je ni sawa? hutafeel offended?

Wapwa mnasemaje juu ya adhabu hii? (kwa wote)

Haiwezekani lazima kuna sababu tena kubwa tu,

Kosa la kawaida nadhani huwezi kuchukia labda ungebadilisha sentensi.

Pamoja na hayo si vema kumnyima mwenzi wako chakula cha usiku, maana ni haki ya wahusika.
 
afu kwa nini hujui jina langu lakini???

anyway ni ngumu kwa kweli mimi binafsi hiyo inakuja automatikali akiniudhi!!! I just cant wakubwa wakigomba in that case wana madhara kwa wadogo
angalizo: usinitolee mfano na Xpini, he is dangerous in himself.

Humheshimu MJ1 siyo? Haya!
 
nimekukubali mkuu.

technically, mwanmke hana ruhusa ya kunyima mzee gemu, na anatakiwa kulia hata kama haumii wakati wa gemu, ndio maisha bwana msilete mambo ya haki sawa za beijing!!!!!!!!!!!!!!
sasa umenikubali bila kunigongea senksi.........?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom