Je ni haki kwa mlinzi kulipwa sh elfu 60 kwa mwezi?

karandarugo

Member
Apr 23, 2015
39
7
hv hii ni haki kwa mlinzi anayefanya kaz ya ulinz kwa masaa 12 kulipwa sh elfu 60 kwa mwezi? mwnye kujua sheria juu ya hili naomba atufahamishe
 
elfu 60 kubwa sana.. na inategemea ni mlinzi wa wapi,analinda nini.
 
bora hiyo elfu 60 ingekuwa inalipwa mwisho wa mwez lakn kiongozi wao amekuwa akiwalipa baada ya siku 45 ili mlinzi atakaye acha kazi aondoke bila malipo yoyote. vp kuhusiana na hili?
 
sawa mkuu,lakin pale ofisi kwao hawapewi mikataba kw7bu wanahofu ya kwmba wakitaka kumdhurumu mlinz asiende kwnye vyombo vya sheria kushitaki hiyo kampuni

sasa huo ndio uzembe wenyewe..
kazi kama hiyo inahitaji mkataba wa kisheria kabisa..lolote likitokea utajitetea kulindana na mkataba ulivyo.
 
hiyo pesa ni unyonyaji mkubwa na ndio maana walinzi wengi wanakuwa rahisi kushawishiwa hatari kubwa hipo kwa client
 
hiyo pesa ni unyonyaji mkubwa na ndio maana walinzi wengi wanakuwa rahisi kushawishiwa hatari kubwa hipo kwa client

akiona pesa ni ndogo aache kazi. hakuna fani ulinzi kusema ye kasomea ulinzi tu.. afanye kazi nyingine.
 
Mbona wasichana wa kazi ndani wanalipwa 25000 hadi 50000 na kazi masaa 18?
Haki mbinguni mjomba !
 
wanaowadhulumu walinzi ni hao wakuu wa vituo vyao(makampuni ya ulinzi).. mtu una haki ya kutafuta panapokufaa, mkataba ndio kila kitu,napo inategemea na awareness ya mlinzi.
 
Ukizungumzia walinzi wa kutoka kwenye makampuni, kampuni zao zinachukua hela nzuri sana kwa kila kichwa kwa wateja, ila sasa ofisi zao ndiyo zinawazulumu na kuwapa kiasi kidogo sana.
 
Back
Top Bottom