Je ni haki kuchanganya

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Hivi leo ni siku ya ukimwi au siku ya maji maana nashangaa rais kuzungumzia masuala ya maji katika hotuba yake na hata kumsimamisha mkurugenzi wa wizara hiyo. Sasa inamaana ile wiki ya maji serikali ilizungumzia kitu gani?
 
siku hizi hakuna tena pesa za ufadhili TACAIDS za kuiba ccm,hivyo ugonjwa hauna maslahi kwa govt ya ccm
 
Back
Top Bottom