Mkuu, hapa nimekuja kukupongeza kwa kumiliki chuma in town.Wakuu, heshima kwenu.
Nafahamu kuwa technolojia inabadilika na kuboreshwa kila leo, kuhusu Security Systems za magari, ni ipi ambayo ni current and the best? Ahsanteni.
Konekshen mzeeJf sometimes huwa ina kaubaguzi fulani hivi. Watu huangalia ni 'nani' aliyeanzisha uzi. Uwe na 'jina' humu jf.
Wakuu, heshima kwenu.
Nafahamu kuwa technolojia inabadilika na kuboreshwa kila leo, kuhusu Security Systems za magari, ni ipi ambayo ni current and the best? Ahsanteni.
Security system za gari zipo nyingi, mimi nazigroup makundi mawili.
1. Alarm system.
2. Tracking system
1. Alarm system
Kama jina lake linavyosema, hizi huwa ni alarm za gari. Na huwa zinakuja na shock sensor (inapiga makelele inapotingishwa), keyless lock (remoti ya milango) na pia kaswitch ambacho usipobonyeza fuel pump haiwashwi hivyo gari huenda umbali mfupi na kuzima pia kupiga kelele.
2. Tracking system
Hizi kuwa na gps, line ya simu na application ya kuliona gari lako lilipo.
pia zinaweza kuwa na shock sensor, mic (ukilipigia unaweza kusikiliza mazungumzo), pump relay (unaweza ukalizima gari ukiwa mbali) na features nyingine kama geo fence, speed alarms nk
Uzuri wa tracking system unaweza kuliona na kulifuatia gari lako kama limeibiwa au umeliazimisha ila changamoto yake huwa nikulipia internet ya line yake ya simu pia huwa zina mtindo wa kudrain battery ya gari hasa pale utakapoamua kuwasha relay ya kuzima pump.
Nishauri tu yafuatayo:
1. Usisahau kulifanyia rivet gari lako, kuna parts nyingi tu za nje zinazoweza kutolewa bila hiyo mmifumokutambua
2. Lihifadhi sehemu salama, hata gari likipiga makelele kama upo mbali nalo ni kazi kufanya chochote.
3. Ni muhimu kuwa na bima kubwa hasa kama gari lako ni jipya.
Umuhimu wa bima haupo tu kwenye wizi wa gari, kuna ajali za barabarani na moto ambapo kati ya hizo security system hamna yenye msaada

Ndiyo kwa kawaida hiyo switch inakua hidden na pia huwa ni ka switch kadogo.Hapo kwenye no. 1 kuhusu kiswitch ambacho usipokibonyeza gari huenda umbali mfupi na kuzima... hii naona ni nzuri, na natumai hiyo switch inakuwa hidden.
Lakini je, hivi hakuna ujuzi wa kuweka switch ambayo unairuhusu kwanza ndipo uweze kuwasha gari? Yaani kitu kama 'pre-starter' switch hivi. Bila kubonyeza hiyo switch gari isipige starter.
Au mfano hiyo pump relay, inaweza ikafanywa na kuwa 'pre-starter'?
Kuifanyia gari yako "rivet"... unamaanisha nini?